Lowasa ahamia ukawa

image

Waziri mkuu msaatafu wa awamu ya nne mh. Edward Lowasa ametangaza rasmi kukihama chama chake ccm na kuhamia chadema. Lowasa alisema hayo jana katika mkutano wa ukawa pale bahari beach jijini dar es salaam. hata hivyo hofu imewakumba baadhi ya watu na kuwaza huenda huo ni mkakati wa ccm kuuvunja ukawa.

Hata hivyo kumetokea hali ya sintofahamu baina ya wafuasi wa chadema mara baada ya mh. Wilbroad slaa na mh. Tundu lisu kutoonekana katika mkutano huo, huku tetesi zikisema kwamba mh. Dr. Slaa na mh. Lisu wamekasirishwa na maamuzi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mh. Freeman mbowe cha kumkaribisha mh. Lowasa na kumpa fursa ya kuwania taji ya urais kupitia ukawa.

Mwandishi wa azam tv jana alimuuliza mh.halima mdee kuwa kwanini viongozi hao wa ngazi ya juu kabisa hawakuonekana. Mh.mdee hakujibu swali hilo na badala yake alianza kuchengachenga hali iliyopelekea watu wengi kusadiki kuwa kweli mh.dr. Slaa na mh. Lisu wamegomea kitendo hicho.

Mwandishi wa blog hii amemtafuta dr. Slaa kwa njia ya simu ambapo mh. Slaa hakutaka kuzungumzia hilo.

Posted in HOME | Leave a comment

Halleluiah brothers and sisters

image

Halleluiah. After being operating a crusade at furahisha last week. Thi afternoon i have an opportunity of being in the house of the Lord (Lumala EAGT) My home church. This photo is the second sunday service. Keep praying for us.

Posted in HOME | 2 Comments

Our crusade has ended today

image

We have completed our mision to mwanza city this week. Where thousands they came to Jesus by the realese of the powerful Gospel which a man of God Ev.kidosi preached. Keep praying for the again next year mwanza crusade. We are now taking a break for a moment then we will move to another place.

Posted in HOME | Leave a comment

Our this week crusade in mwaza city

image

Brothers and sisters. We are writting from mwanza city east africa. We are operating a crusade at furahisha area in mwanza city. Many has accepted jesus and demon are leaving them. This crusade will continue to sunday 19 july 2015. Keep praying   for us

image

The maltitude surrenders to jesus christ

image

             Demons are getting out

image

Ev.danaford kidosi leading a prayer to the multitude

image

Ev.kidosi preaching at our crusade

Posted in HOME | Leave a comment

John Komanya afariki dunia

image

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba. Mwimbaji maarufu kutoka Tanzania bishop John Komanya amefariki. Komanya atakumbukwa kwa kazi zake za uimbaji. Moja wapo ya wimbo alioimba ni ule ‘ZAWADI GANI’ Bwana ametwaa jina lake libarikiwe

Posted in HOME | Leave a comment

Dr.Daniel kulola yuko barani America kwa injili

image

Dr. Daniel moses kulola

Mhubiri maarufu Dr. Daniel Moses Kulola ambaye pia ni mtoto wa gwiji wa injili barani africa Rev. Moses Kulola yuko nchini marekani kwa injili.

Dr. Daniel yuko cincinnati ohio na baada ya hapo ataelekea jimbo tajiri nchini marekani jimbo la Texas. Hivi punde amezungumza na mtoto wake ambaye pia mwasisi wa New Hope Ministry Ev. Moses Mayila; Pastor daniel amesema anaomba msaada wa maombi ya watu wote. Hivyo tuungane pamoja kumuombea mtumishi wa Mungu ili Bwana aongozane naye kila kona.

Posted in HOME | Leave a comment

Daniel kulola: mision to katoro has done as wel

We thank God the crusade has finished wel in katoro geita tanzania. Where pastor daniel moses kulola was preaching over there.

IMG-20150524-WA0009Tommorow pastor daniel, happy shamawele, sarah emmanuel and cecilia emmanuel will coming back to the city where pastor daniel kulola will be waiting for his departure to America for the Gospel mison soon next month.

Your prayers for us are very important.

Posted in HOME | Leave a comment