IKIWA NI MPANGO WA MUNGU KWAMBA WATU WOTE WAOKOLEWE,JE! MWANA WA UPOTEVU ALITOKA WAPI?

Haleluya wana wa Mungu leo niko hapa kuzungumzia mpango mahususi wa Mungu katika maisha ya mwandamu, na mpango huu ni kwamba kila mwanadamu aokolewe. Biblia inasema Yesu alisema “Kila ajaye kwangu sitamtupa nje” lakini katika maandiko mengine yesu alinukuliwa akiomba kwa Mungu akasema hivi: “Baba wote ulionipa sijampoteza hata mmoja isipokuwa yule mwana wa upotevu” hapa alimnena Yuda Iscariote.
jamani hapa ndipo napata maswali, Ikiwa Kila ajaye kwa Yesu hamtupi nje, Yuda naye alikwenda kwake kwanini alimwacha Shetani amwingie? tena akitoa Ishara kabisa utadhani kwamba yeye ndiye aliyemkabidhi kwa Shetani, maana Shetani hakumwingia Yuda bali alisubiri kwanza hadi Yesu alipompa Yuda Tonge ndipo akamwingia.

Mimi nimejaribu kufikiria ni kwanini nikagundua kwamba labda kwa sababu Yuda alikuwa mwenye tamaa ya fedha hakuachana na dhambi kama Petro na wengine na ndio maana Shetani alipata nafasi kwake, Lakini Swali likanirudisha pale pale kwamba kwanini Yesu asimzuie Shetani amwachie amchukue Yuda mwanafunzi wake? Jamani naomba mtazamo wenu katika hili. Mbarikiwe.

Ev.Moses Mayila
mosesmayila@yahoo.com
+255 715 961270
http://www.newhopeworldwideministry.wordpress.com

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s