F.P.C.T. YAANDAA MKUTANO WA KUUANGUSHA UISLAMU MANZESE NA KUMUINUA KRISTO


Kanisa la Free pentecoste church of Tanzania Midizini Manzese limeandaa mkutano mkubwa unaoendelea katika viwanja vya bakhresa Manzese Dar es salaam tangu tar.18/06/2011 hadi tar.25/06/2011 saa 9 mchana. na baada ya hapo kutakuwa na semina kubwa katika kanisa hilo kuanzia tar.26/06/2011. akizungumza na mwandishi wa mtandao huu mchungaji wa kanisa hilo Pastor Mathew alisema kwamba wao wanania ya kuwatoa watu katika maisha ya dhambi na kuwahamisha watu wa manzese kutoka katika imani za kiislamu na kuwaleta wote kwa Yesu.
na nia ya semina hiyo itakuwa kuwajenga watu na kuwafanya kuwa wanafunzi wa yesu kristo kama yesu alivyo agiza.
hadi mwandishi wa mtandao huu anaondoka katika viwanja vya manzese tayari walikuwa wamekwisha ponywa watu wapatao mia moja waliokuwa na maradhi aina tofauti kama kisukari n.k. wote mnakaribisha katika mkutano huu.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

4 Responses to F.P.C.T. YAANDAA MKUTANO WA KUUANGUSHA UISLAMU MANZESE NA KUMUINUA KRISTO

 1. gift baskets says:

  Then the pleasures of effectively chosen gift baskets could be just the solution to shock your distant relatives using.

  Like

 2. WILBROD NYAKAMWE says:

  MUNGU AENDELEE KUWAPA MAONO YA NAMNA IYO HIYO

  Like

 3. Joseph chaula says:

  Mungu akubaliki kwa kazi ya bwana

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s