MOSES AWAFUMBA VINYWA WAISLAMU DAR

New Hope Ministry Founder

Ev.Moses Mayila


Mwinjilisti Moses Mayila amewafumba vinywa waislamu waliokuwa wameitisha mkutano katika viwanja vya Bakhresa jijini dar es salaam baada ya kuwakuta wakikanusha kwamba Yesu hakufa wala hakufufuka ila Mwenyezi Mungu alimtwaa kwake juu mbinguni. wakitetea hoja zao kwa kitabu cha Yohana walidai kwamba aliyesulubiwa alikuwa ni Simon Mkrene na si yesu kristo.

Baada ya hapo ndipo Mwinjilisti Moses alipoamua kupanda Jukwaani na kupinga hoja hizo mbele ya umati wa watu katika mkutano huo, hata hivyo waislamu walimtaka athibitishe kwamba Yesu alikufa, ndipo Moses akatoa andiko katika Mathayo 27:58 “Yusuph wa Arimathaya mtu huyo alimwomba pilato mwili wa yesu, pilato akamruhusu apewe akautwaa mwili akauzonga katika thanda ya kitani safi akauweka katika kaburi lake jipya kisha akaviringisha jiwe kubwa mlangoni akaenda zake”

Ndipo Moses akawauliza swali kwamba “Ikiwa yesu hakufa hapa tumeona mtu akizika Mwili wa yesu, Je! Mtu azikwaye huwa yu-hai au huwa amekwisha kufa? Swali hili lilikuwa Gumu kwao ambapo walijibu ya kuwa “wengine huzikwa hai” Moses akawaambie watoe Andiko mtu huzikwa hai, wakakosa Andiko jambo lililopelekea waislamu kuzomewa ndipo wakaamua kumpiga Moses lakini mmoja wa viongozi wao alitoa Andiko katika qruan sura ya 9 likisema, “Mtu akija anataka kusikia maneno ya Mungu muache usimfukuze, na akikataa kuwa mwisilamu usimlazimeshe, bali umlinde umpeleke hadi nyumbani kwake salama” Andiko hili liliwabana waislamu kumdhuru Mwinjilisti Moses wakaamua kumuacha aendelee na hoja.

kwa namna nyingine tena wakamtaka Moses abadilishe Hoja badala ya Kifo cha Yesu basi wazungumzie ni dini ipi ya kweli kati ya ukristo na uislamu. wakaanza kwa kumuuliza swali “Ni Andiko gani Ukristo ni Dini?” Jambo la kushangaza Moses akatoa Andiko kwenye qruan, 3:99 “Enyi watu mbona mnawazuia watu na Njia (dini) ya Mwenyezi Mungu?” Moses akafafanua andiko hili akisema kumbe dini maana yake njia kwa mujibu wa aya hii, ni kweli? waislamu wakajibu ‘ni kweli. ndipo akatoa Yohana 14:6 Mimi ndimi njia na kweli na uzima mtu haendi kwa baba ila kwa njia ya mimi. kisha akasema Yesu anasema yeye ndiy njia pekee ya kweli na uzima mtu haendi kwa Mungu pasipo kupitia kwake. kama yesu amesema yeye ndiye njia inamaana nyine kwamba yeye ndiye dini na kweli na uzima. kwa hiyo sisi wakristo dini yetu ni yesu Mwenyewe.

Hata hivyo waislamu wakamletea changamoto kutoka katika ufafanuzi wa kitabu cha matendo ya mitume, mahala paliposema “Neno Wakristo ni wafuasi wa Kristo, Jina hili ni lakupangwa na makafiri wa Antiokia” wakamuuliza waanzilishi wa jina la dini yenu ni makafiri sawa? Moses akatoa andiko katika mathayo likisema “Nyinyi mwaniita mwalimu na bwana mwanena vyema maana ndivyo nilivyo” Akasema Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwamba wamwita mwalimu na bwana walifanya vyema maana ndivyo alivyo nasi makafiri wa antiokia walituita wakristo walifanya vyema maana ndivyo tulivyo. lakini ninyi ni washikina wakubwa, akatoa andiko katika qruan 12:106 “Japo tunafuata uislamu lakini pia tunatia ushirikina” pia akatoa tena qruan 6:41 Makafiri wa zama hizo walikuwa afadhali katika itikadi zao juu ya uweza wa mwenyezi Mungu kuliko hawa waislamu wa zama hizi wanaoomba mizimu na makaburi na majini, jambo hili liliwakasirisha sana waislamu wakamfukuza Moses akaenda kaze huku wakimwambi ni lazima tukuue.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

13 Responses to MOSES AWAFUMBA VINYWA WAISLAMU DAR

 1. Exavier says:

  Quite good job, Moses!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Like

 2. YASINI says:

  Mchungaji toa andiko kwenye bibilia ukiristo ndio dini ya kweli? toa andiko yesu anasema dini yenu iwe ukiristo? je yesu maisha yake yote alihubiri dini gani, kwa hoja,yesu anakufa mwaka wa 33,miaka 13baadae paulo anaanzisha ukiristo antokia,j

  Like

  • Yasin, asante kwa hoja nzuri. kwanza umetaka nitoe andiko kwenye biblia kwamba Ukristo ni dini ya kweli, lakini kabla ya kwenda kwenye biblia kwanza nikuanzie kwenye kitabu unachokiamini yaani Qruan sura 3:99 “Enyi watu mbona mnawazuia watu na njia (dini) ya mwenyezi Mungu?” hapa tunaona maana ya neno dini, Qruan imekubali kwamba dini maana yake njia ya kwenda kwa Mungu. Hebu sasa tuangalie wapi ukristo ni dini ya kweli kama swali lako lilivyo. Yohana 14:6 “Yesu akasema, mimi ndimi njia ya kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi” Hapa tunaona Yesu mwenyewe ndiye asema ya kwamba yeye ndiye njia ya kweli, mtu haendi kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu.

   Kumbuka neno njia maana yake dini kama tulivyoona kwenye kitabu cha Mungu wenu. kwa maana nyingine yesu anasema “mimi ndiye dini ya kweli mtu haendi kwa Mungu bila mimi”

   Swali lako la pili, umeuliza wapi yesu kafudisha ukristo? jamani maandiko mbona yako wazi, Mathayo 28:19 Enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la baba na la Mwana na la roho mtakatifu.

   Ndugu yasin, kati ya wakristo na waislamu na wepi wanaobatizwa kwa majina haya sawa sawa na mafundisho ya Yesu? Jibu ni wakristo ndo hubatizwa sawa sawa na neno la Yesu. Yesu alisema Mathayo 7:26 “Mtu akilisikia neno langu kisha asilitende atafananishwa na mtu mpumbavu” kwa hiyo waislamu ni wapumbavu kwa sababu mmeyasikia maneno ya Yesu halafu hamtaki kubatizwa kama neno lake lisemavyo.

   Mungu akusaidie yasin, kwa jina la Yesu. Karibu tena.

   Ev.Moses K. Mayila

   Like

 3. Barnaba wana says:

  Ndugu mchungaji,waislam wanasema ukristo ulikuwa wa zama zile na umma wake na wakati wake ulishapita,sasa niwakati wa mohamad saw yatupasa kumfuata kwani yeye ndo nabii wa mwisho.unazungumziaje juu ya jambo hili.

  Like

 4. Hawa wenze2 wabishi hata kama ki2kinaonekana kuwa chakweli daaah

  Like

 5. theophil william says:

  Nakupongeza sana ndugu Moses kwa umahili na hoja na fundisho la msingi ulilolifanya.Wakristo tunatakiwa kuiga mfano kama wako wakuijua Quran na Biblia Takatifu.Barikiwa,Nakupongeza sana ndugu Moses kwa umahili na hoja na fundisho la msingi ulilolifanya.Wakristo tunatakiwa kuiga mfano kama wako wakuijua Quran na Biblia Takatifu.Barikiwa,Nakupongeza sana ndugu Moses kwa umahili na hoja na fundisho la msingi ulilolifanya.Wakristo tunatakiwa kuiga mfano kama wako wakuijua Quran na Biblia Takatifu.Barikiwa,Nakupongeza sana ndugu Moses kwa umahili na hoja na fundisho la msingi ulilolifanya.Wakristo tunatakiwa kuiga mfano kama wako wakuijua Quran na Biblia Takatifu.Barikiwa,Amina

  Like

 6. Bel says:

  Ev.Moses, Naomba mtumishi unifahamishe haya.
  Kama usemavyo kwamba dini maana yake ni njia. Naomba katika maandiko yafuatayo niweke maana ya neon njia iwe dini

  Biblia inasema: Mwalimu (Yesu) twajua wewe ni mtu wa kweli na njia ya mungu waifundisha kwa kweli.
  Sasa dini ya mungu alioifundisha HAPA inaitwaje?
  nakatika kimoteo 1 4-1 . tufafanulie. biblia iliposema kwamba “katika siku za mwisho watu wengi watamuasi kristo na dini yake” Nielewavyo mimi hapa kristo na dini ni vitu 2 tafauti kama ndivyo, kristo ni mtu aliefundisha dini gani? na njia jee? huoni hapa kuna kujichanganya?
  NAOMBA MAJIBU.

  Like

 7. John hassan says:

  Kwa hakika yesu ni MUNGU.

  Like

 8. zenas says:

  Waislam wabishi sana na hawataki kuelewa, kila jambo wao ambalo mtume wao kafanya kwao ni sunna, kiasi kwamba hawajui hata wanachokiabudu, hii inasikitisha sana, wanafanya ibada kila siku lakini ukiwaambia ukweli hawawezi kuukubari hata kidogo, waislam wamekua wakiabudu jiwe jeusi miaka nenda miaka rudi ila ukiwaambia ukweli wanakwambia jiwe lile kapewa ibrahim na Mungu, dah shida sana ila watakuja kujua siku moja kua wanachokiabudu sicho,………

  Like

  • Muijilisti (Pascal) says:

   yaani, hawa wajama tatizo lao wanaaza kufundishwa wakiwa watoto wadogo. kwaiyo wanapokuwa watuwazima inakuwa vigumu kukubali.

   Like

 9. Akeem says:

  Mungu akuongezee neema unapo ingiya kwa mapambano haya.

  Like

 10. Samson says:

  Wakiristo mwajifariji kwa uongo ,kika nabii anaetumwa na Mungu anakuwa njia kwa umma uletuambieni wapi Yesu kafundisha ukiristo au wapi ukiristo ni dini

  Like

 11. Samson says:

  Wakiristo mwajifariji kwa uongo ,kila nabii anaetumwa na Mungu anakuwa njia kwa umma ule tuambieni wapi Yesu kafundisha ukiristo au wapi ukiristo ni dini

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s