Mch.Boniface Alionana uso kwa uso na Malaika!


Mchungaji wa kanisa la OASISI OF HEALING Sahara Dar es salaam ni miongoni mwa watu ambao Mungu aliwahi kusema nao wazi wazi kabisa si katika maono wala ndoto bali uso kwa uso. Boniface aliota ndoto akiwa yungali katika dhambi ambayo aliona msitu mnene na alikuwa akisikia watu wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu lakini kila akijaribu kuwaendea ule msitu ulimzuia, mara akasikia sauti ikimwambia ule sio mmsitu bali ni wingi wa dhambi zake.
siku moja akiwa njiani kwenda kwao alifika sehemu akanunua soda anakunywa mara akasia sauti ikimwita “boniface utakwenda jehanamu” alipogeuka aliona mtoto wa miaka mitatu, jambo ambalo lilimwacha hoi kwamba huyu mtoto amemjuaje hali ya kuwa yu-katika nchi ya mbali! mara yule mtoto akapotea ghafla, ndipo akasikia sauti ikisema huyo siyo mtoto kama unavyodhani bali ni malaika wangu nimemtuma kwako, ndipo Boniface akaamua kuokoka. Jamani Mungu wa Musa, Ibrahimu na Yakobo hajabadilika yeye ni yule jana leo na milele.

Rev.Boniface
0653060204

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s