WAISLAMU WAMGOMEA MOSES!

New Hope Ministry Founder

Ev.Moses Mayila


Mhubiri jasiri Ev.Moses mayila jana alikwenda kwa kwa wahubiri wa kiislamu ambapo aliwaomba watumie mtandao wake wa Internet kutoa hoja zao kuhusu yesu na mambo mengine yahusuyo Ukristo kisha yeye na Jopo lake watakuwa wakizijibu hoja hizo, wakati huo huo alitaka kwamba na yeye atakuwa anaweka Hoja zake kuhusu Uislamu na wao wajibu hoja zake. lakini waislamu walikataa, wakimwita Moses kuwa ni mpotoshaji, na hii ilikuwa ni kufuatia na Mwinjilisti huyo kuwa na tabia ya kuwaharibia mikutano yao kwa kuwapinga sera zao mara wawapo na mkutano katika eneo lolote ikiwakuta. Nia ya moses kufanya hivi ilikuwa ni kwamba kuweka wazi kuhusu uislamu ili waatu wasiendelee kudanganywa na Waislamu kwamba wakijiunga katika dini hiyo watakwenda peponi. Akizungumza na mhubiri mashuhuri wa kiislamu Nchini Ostadhi Abubakar Mwaipopo Moses aliwaambia tufanye hivi itasadia watu kujifunza lakini mwaipopo alisema nyinyi mtakuwa mnahariri halafu mnakata kwenye pointi nzuri, hata hivyo Moses alisema sisi hatutakuwa tunahariri lakini tutakuwa tuningiza hoja zenu kama zilivyo, hata Hivyo mwaipopo na jopo lake walikataa na mwisho wakasema watakwenda kukaa kikao halafu watamjulisha.

Moses alikuwa tishia kwa waislamu tangua alipokuwa anasoma advance mwaka 2009. hivyo kusema kweli walikataa kwa sababu wanajua kwamba wataaibika maana moses huwaponda sana. MMoja wa waislamu hao alidai kwamba Moses awe anajibu hoja tu za waislamu lakini asiushambulie uislamu, Moses alikubakli lakini bado walikataa kufanya hivyo. hadi mwandishi wa mtandao huu anaondoka walikuwa bado hawajapata muafaka wa mjadala huo.

(New Hope Reporter)

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s