WANAHARAKATI WAANDAMANA JIJINI DAR ES SALAAM KUISHINIKIZA SERIKALI KUTATUA TATIZO LA MADAKTARI

Wakati nchi ikiwa katika matatizo makubwa ya mgomo wa madaktari Bingwa, sura imekuja tofauti jijini dar es salaam, kwani wanaharakati wameamua kuandamana kuishinikiza serikali ili ifanye suruhu na madaktari. Haya yametokea Leo katika jiji la Dar es salaam. Waandamanaji hao walionekana kuwa wenye hasira kali dhidi ya serikali hasa wakimmulikia macho waziri wa afya na speaker wa Bunge, huku wakimtaka Waziri wa Afya Mh.Haji Mponda Ang’atuke madarakani. Baadhi yao walibeba mabango yakisomeka “Niueni Mimi wangojwa wapone” walimaanisha kwamba wao wamejitoa wahanga kama ni kupigwa hata kufa wako tayari. Tunamwomba Mungu Baba Mwenyezi asimamie Amani kwa Nchi hii maana sasa sura ya machafuko imeanza kujitokeza. hivyo tunawaomba wanamaombi Duniani kote kuombea Tanzania, pia kuwaombea viongozi akiwemo Rais na serikali yake kwa kufunga kwa muda usiojukana hadi suluhu ipatikane bila uvunjifu wa amani baina ya serikali, Wananchi, Wanaharakati na Matabibu. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Linda Amani Tanzania. Kwa Jina La Yesu.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++=====================================================================================================================================================================
Ndugu Msomaji, Je! unaishauri nini serikali? Na kama wewe ndiye ungekuwa Rais wa Nchi hii ungefanya nini? na kama wewe ungekuwa ndiye Haji Mponda (Waziri wa Afya) ungefanya nini? Tafadhali Toa maoni yako! Click “Reply juu ya hii habari ili kuandika Maoni yako. Ubarikiwe sana.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

4 Responses to WANAHARAKATI WAANDAMANA JIJINI DAR ES SALAAM KUISHINIKIZA SERIKALI KUTATUA TATIZO LA MADAKTARI

 1. mama h. says:

  Kama ningekuwa mimi ndo waziri wa hiyo wizara ningeachia madaraka.

  Like

 2. Jeremiah says:

  Kikwete nchi imekushinda toka hatukuhitaji. rais gani anacheka cheka na wanawake muda wote, badala utatue matatizo ya nchi unachekacheka tu na wanawake.

  Like

 3. Janeth says:

  Kweli Nchi hii inahitaji rehema za Mungu, tuwaombee tu viongozi wetu.

  Janeth
  Dar es salaam.

  Like

 4. buy says:

  With havin so much written content do you ever run into any problems of plagorism or copyright infringement?

  My website has a lot of completely unique content I’ve either authored myself or outsourced but it looks like a lot of
  it is popping it up all over the web without my agreement.
  Do you know any techniques to help reduce content from
  being ripped off? I’d definitely appreciate it.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s