ASANTENI SANA WOTE MLIOOMBA KWA AJILI YA TANZANIA MADAKTARI WAMESITISHA MGOMO

Bwana Yesu apewe sifa,
Shukrani za dhati kwa wapendwa wote mlioiombea Tanazania hapo jana kwani madakatari wamekubali kujerea kazini. muafaka huo umepatikana mara baada ya kikao kati ya waziri mkuu na madaktari kilicholeta ufumbuzi wa tatizo hili kwa kuwaondoa katibu mkuu wa wizara ya afya bi.Brandina Nyoni na Mganga mkuu.
Hata hivyo madaktari wamesema wanaipa serikali mwezi mmoja tu kama haitatekeleza malalamiko yao basi wateendelea na mgomo kama kawaida. hivyo tunaomba msiache kuombea nchi kwani hali bado haijawa shwari. hivyo ombeni tena ili serikali ifanikishe kutekeleza malalamiko ya hawa matabibu. Bwana awabariki sana kwa kazi njema ya kuiombea nchi.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s