“Nikiwa na miaka 12, nilipata matatizo ya uvimbe kwa mkono wangu wa kushoto. Uvimbe huo ulikuwa wa ajabu sana na hakuna aliyefahamu chanzo kilikuwa ni nini? Niliugua kwa muda wa miaka mitatu. Wazazi wangu walihangaika kunipeleka kwa wataalam wa hospitali mbalimbali na hata kwa wanganga wa kienyeji bila mafanikio, na baada ya muda huo kupita ilianzishwa hospitali moja na wazungu karibu na nyumbani kwetu, na Baada ya muda nilipelekwa kwenye hospitali ya wazungu iliyoanzishwa karibu na nyumbani kwetu na hapo pia wataalam wa hapo walishindwa na kushauri nikatwe mkono kwa lengo la kunusuru uhai wangu. Hivyo ndivyo nilivyopoteza mkono wangu” alisikika akisema Solomoni Mukubwa mmoja wa waimbaji maarufu wa muziki wa Injili Afrika Ya Mashariki na Kati kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Solomoni aliendelea kusema kuwa hakuna mtu aliyejua kuwa uvimbe huo umetokana na nini lakini hapo baadae ilidhihirika wazi kuwa mama yake wa kambo ndie aliyemroga na kumsababishia tatizo hilo kwani baadae alikuja kukiri na kueleza ukweli.
Solomoni, ambae kwa sasa masikani yake yapo jiji la Nairobi nchini Kenya alisema kuwa, wimbo wake wa Mfalme wa amani aliutunga ili kumtukuza Mungu baada ya kumuepusha na kifo ambacho kingempata baada ya mama yake wa kambo kumroga na kusababisha mkono wake kuvimba na alitibiwa na madaktari bingwa bila mafanikio na alipoenda kwa waganga wa kienyeji hakupona.
“Wimbo wangu wa Mfalme wa amani niliamua kuuimba baada kuvuka katika shida hizo na albamu yangu kuipa jina la Mungu mwenye nguvu, na kuna maneno niliweka kwenye kibao hicho kwamba; ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, mwite mfalme wa amani, yeye anajibu maombi’ alisema Solomoni Mukubwa
“Baada ya kupona mkono wangu, mama yangu wa kambo alikiri kunifanyia kitendo hicho, lakini mimi nilipookoka nilimsamehe, baada ya muda mfupi naye aliokoka kutokana na pigo kali alilopata mwanaye kwa kuumia jicho alipokuwa anachezea chelewa kwenye moto ambalo liliruka na kuharibu kabisa jicho lake.
Solomoni Mukubwa ana albamu mbili ambazo ni “Sijaona Rafiki” na “Mungu Mwenye Nguvu”
Kutokana na taarifa hii, tumekuwa tukipokea simu nyingi sana kutoka sehem mbali mbali wakihitaji namba ya simu ya solomon kwajili ya huduma, hivyo tumeona ni vyema tuiweke hapa hiyo namba yake.
Wasiliana na solomon mkubwa kwa simu namba: +254726158434
Kama usipompata wasiliana nasi (NHM) tutakusaidia kumpata: newhopeministrytanzania@gmail.com
Mungu atakuweka mfalme wa amani.
LikeLike
you a blessed man of God.Yo songs bless me alot.
LikeLike
I like your song Mungu wetu mwenye nguvu,everytime the song is sung i feel my soul is quenched
LikeLike
your songs is a blessings to us all may God be with u .
LikeLike
indeed mungu ni Mfalme wa Amani
LikeLike
may GodAlmighty continue using you to change the world
LikeLike
Bro, u r a strong man, i like yua songs and they really bless me.Be blessed.
LikeLike
Indeed the song Mfalme wa Amani makes me forget my sorrows and bitterness. We can’t cry to our fellow human beings they only use us to achieve their favours. God is all.
LikeLike
Like
LikeLike
I thank GOD 4 ur bein’ coz ur recovery from dat deadly disease & ur songs, de wicked turn 2 righteous. Bismilahi !
LikeLike
SOLOMON MAY THE lORD BLESS YOU, your songs are a blessing to me and my family, cant help myself, i just play MUNGU MWENYE NGUVU all day long, bless you bro
LikeLike
Your songs are a great blessing brother. God bless and lift you.
LikeLike
Your songs are a great blessing to me and your testimony is a life changing one. God bless you as you continue to serve him and transform other lives.
LikeLike
Your songs r a blessing 2 me especially when ad down i listen 2 mungu mwenye nguvu,God bless u.
LikeLike
FLORIDA KENDI
I LOVE YOUR SONGS WITH PASSION COZ THEY KEEP ME GOIN HATA KAMA AM IN DIFFICULT SITUATION JAH BLESS YAH SOLOMON
LikeLike
Pole sana Solomon Mkubwa kwa yote uliyoyapitia. Na MUNGU mwenye uwezo Akubariki
LikeLike
kama mungu amekutoa umbali huo naamini nami ataniokoa kwa yale ninayo pitia nyimbo zako zinanifariji.
LikeLike
Am very sorry ur my big fun i adore your forgiveness.plz gove mre solomon mukubwa email address
LikeLike
I really like all your songs brother they are so blessing and my God guide in your entire life.Amen
LikeLike
YOU ARE A MAN OF GOD, PLEASE DON’T BELIEVE IN KUROGWA. THEY ARE NOT THERE. Nilipoteza Mkono Wangu Baada Ya Kurogwa Na Mama Wa Kambo?????? DO U BELIEVE THIS SOLOMON??????
LikeLike
For the last 20 years and some classes in Christianity and civilization, i don’t believe in witchcraft even a micro ounce!!!!!
LikeLike
But I must say Solomon, you are one of the highly blessed gospel singer in east and central Africa, you should come and visit us here in the USA. I listen to your songs on Spotify and (excuse me please) you are so handsome mtoto wa mungu, God bless you and your family.
LikeLike
mungu wambinguni akusaidi na umwabudu ktk roho na kweli
LikeLike
Da! Mungu akubariki kwa nyimbo zako.
LikeLike
God may bless a man of god ua song is real touch me when am listening mfaleme wa amani and mungu wetu mwenye nguvu.
LikeLike
Mtumishi wa Bwana salomoni Aksanti saana na nyimbo zako na ile yote una andika Bwana a barikiwe saana Mimi ni Apostle Banza KIKUDJi Wa USA na sifu mungu saana ubarikiwe tu na penda number yako ya simu dju ya kazi la bwana aksanti saana ndugu
LikeLike
Naomba kwa Mwenyezi Mungu kwa jina la Yesu Kristo akuwezeshe katika Muziki wako wa Injili, ili uendelee kutuelimisha na kutufurahisha Kiroho.
LikeLike
everytime i have a bash me huimba mfalme wa amani na me hupata amani moyoni mwangu. kudos Solomon en God bless u abudantly 4 ur talent
LikeLike
I have read solomon mukubwa story, and listen to his song sijaona rafiki kama yesu.what a blessed man.Yesu is my best sijaona rafiki kama yesu!!!
LikeLike
MUNGU AKUBARIKI SANA NYIMBO ZAKO ZIMENIBARIKI SANA..
LikeLike
Hello man of god nafurai sana kusoma story ya maisha yako, kilasiku kabla sija lala uwa ninasikiliza mziki wako ambao unaitwa Mfalme wa amani mungu azidi kukubariki
LikeLike
Your songs lift me up wen everything turns out.may God give u abudant life ful of joy.
LikeLike
Ur songs are in touch,go ahead my brother. God blessing u
LikeLike
Mimi butoto penda,MUngu akubariki nyimbo zako zina nigusa saaaaana,haswa nyimbo za wokovu,papa kila album usikose kutia wimbo wawokovu.Mungu akubariki.
LikeLike
Sorry man of God.Am really touched with that but by the grave of God he made u be who u r today.U really bless me and God continue to bless u abudantly.
LikeLike
God bless you as you spread his word through music
LikeLike
Ur songs are blessing to me, spread the word of God to the world, He holds your future my brother. God bless u.
LikeLike
hakika mungu ni mfalme wa amani.
LikeLike
Songs yako inanibariki sana
LikeLike
true worship songs.
LikeLike
I love ur song bro keep it.
LikeLike
NYIMBO ZAKO ZINAFARIJI,ZINABARIKI,ZINAOKOWA NA ZINALETA MATUMAINII.MUNGU WA MBINGUNI AZIDI KUKULINDA, KUKUBARIKI NA KUCOCEYA KARAMA YAKO.
LikeLike
Be blessed man of God,all happens wth a reason.
LikeLike
mungu akushushushie baraka zaidi ya hapo amen
LikeLike
God bless u and gve u d wisdom to write more songs.Amen
LikeLike
Ndugusolomon mukubwa polesana kwayaliokukuta hakika mungu akubari kugîsi umejitowa kwajili yakaziyake napenda sana albamu yako mungumwenyenguvu hakikanyimbo zakozinanifariji sana moyowangu namimi nimeokokaniko namiaka 13 sasa ninakuwanamiaka 21Mupakaivi ninaendelekumu tumikiamungu hakika tufanye kaziyamungu kwabidi mungu wetu hachoki.
LikeLike
Maandikomatakatifu yanasema ole wale wamuitaobwana wakati hawajaokoka gazabuyao nikubwasana kwamungu nashuku sana mutumi shiwamungu namimi ninapenda sana uduma yakuimba ndugu sasaninge penda tushirikiane mimi nawewe katikauduma yakuimba mimi nimukongomani drc sud kivu lakini kwasasa ni south african kwajiliyakutafutamisha nambayangu yisimu iyi+27844656275 kwa,wakatiwo,wote ule unawezani,itaji miminikotayari kushirikiana pamojanawewe.
LikeLike
Mungu ni muweza zidi kumtumikia zaidi tuwapende na kuwatendea mema wanaotutendea mabaya
LikeLike
Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake mungu ni muweza yote.
LikeLike
hakika rafiki wa uhakika ni \yesu yule aliyemwaga damu, yesu wa nazareti aliye hai. rafiki wengine si wa kweli wanaweza kukuzushia mambo makubwa usiyojua. \nasi tujifunge sana kwa yesu aliye hai atatufunika kwa damu ya dhamani tutembee katika nuru ya kweli, maana dunia ya sasa wanaokaa ndani yake wamebadirika saana wana mambo mazito. mungu akutie nguvu uzidi kumtumikia mungu kwa nyimbo zako.
LikeLike
Pole xna ndugu solomon kweli mungu ni mfalme wa aman, duuuh! naipenda nyimbo yako ya mwenye nguvu.
LikeLike
God bless you man of God.your songs especially mungu mwenye nguvu unibariki sana.I believe you must have been in prayer and fasting before you launched the video
LikeLike
Thanx 2 God bcoz ua song bless me so much, what happen on ua lyf let say it is God wish.
LikeLike
solomon God will never stop blessing you,your song `mungu mwenye nguvu’inspires me most,,,God is above all,,
LikeLike
I thank god for his wonders .na wakati mwingi tumuajie mungu. ushuhunda wako umenitia nguvu coz hata mimi nilipitia hali kama yako bt Mangu wetu nimwenye nguvu. anatupa tumaini kila asubuhi .barikiwa unapo nitia moyo god be with u everywhere u go i love your songs.
Am;
Pamela akosa chibole Nikiwa state of Qatar shallom.
LikeLike
Always being blessed by Solomon songs
LikeLike
Mungu akubariki sana ndugu solomon na i love u n ur touching and blessing songs, May almighty remember and be with u forever, amen!!!
LikeLike
you are ablessed man of God your songs ar always a blessing to me worship and serve the Lord your Creator till He comes be lifted.
LikeLike
Am Much Blessed With Your Testimony And I Just Want To Pray That Let God Keep On Strengthening You Day By Day.Am Also An Upcoming Singer And I Would Like To Coorperate With Great People Like U Always For Your Songs Really Bless And Touches The Hearts Of Most People.God Bless U So Much.Amen..!
LikeLike
May the Almighty God uplift you and make you a shining star that through your songs people may receive Jesus Christ and leave their evil ways.
LikeLike
Mungu akubariki sana minapo sikiliza nyimbo zako hasa mwimbo wa nasikia mafaridika sana, Mungu akubariki sana na akuzidishie.
LikeLike
Pole Ndugu Solomon kwa yaliyokupata. Mwenyezi Mungu yu nawe na atazidi kukuinua zaidi. Nyimbo zako hunifariji mno. God Bless You & Bless Your Family.
LikeLike
you are a very luck guy because God saved you from the pangs of the evil one and now you are a blessing to many.
LikeLike
Hakika Nyimbo Zako Zinabariki Hakika Mungu Wetu Ni Mwenye Nguvu
LikeLike
Your Songs are a real blessing to me especially that of mungu mwenye nguvu is very touching . God bless u.
LikeLike
ndugu solomon mukubwa nimesoma story yako ya maisha pole sana kwa shida ulio pata na mungu azidi kukubari na kukutiya nguvu ili uwendeleye kumutumikiya , nyimbo zako kuwa zinanibariki sana asante kwa utungaji mzuri wa neno la mungu , mfalme wa amani ni mungu pekeyake asante kwa uwimbaji wako mzuri mungu aendeleye kuku linda amen .
LikeLike
For sure brother Solomon your songs really touches ma heart.Barikiwa sana
LikeLike
I thank you Solomon Mkubwa for your touching testimony. Every time i listen to your songs i feel blessed. God bless you.
LikeLike
4sure Mungu Halali,na Ni Muweza May He Bless Us All.Amen!
LikeLike
pole sana brother.
lakini ukweli ni kwamba nyimbo zako hua zinanifariji sana. hasa nyimbo kama – mfalme wa amani, na sijaona rafiki kama yesu.
LikeLike
hi mkubwa thiz iz one of your biggest fun in budalang’i constituency n i wnt u 2 knw tht u r a gr8t blessng to my pals n i, lov u
LikeLike
am purity mumbua musau frm machakos county,,.Am always moved by ur songs,they r a blesing to me ever.kip up ad welcome to our church reedemed gospel church….My number is 0716732215
LikeLike
Hakuna silaha yeyote iliyotumwa kinyume nasi itakayofaulu. God bls u bro. U r more than a blsng 2 me.
LikeLike
God bless u bro Solomon and May u also continue telling everyone mungo ni mwenye nguvu thanks
LikeLike
je suis touché!Que Dieu te protège
LikeLike
all of you amazing,I glorify Lord JESUS,Solomon remain blessed with you family
LikeLike
U R ALWAYz ABLESSING 2 MI BROTHER
LikeLike
Am madly in love of your gospel baaba utukuze. When u are in uganda please u can pay a visit to our church. +256712501704.
LikeLike
mungu anaweza big up brother i’m intouch with ur testmony.Thanks
LikeLike
Surely ushuhuda huu umenibariki tu sana! Barikiwa.
LikeLike
God bless the work of the man of God Solomon mkubwa
LikeLike
mungu akubariki sana solomoni na akutendee makubwa kwa nyimbo zako za kumtukuza mungu.zinanibariki kweli kweli. hongera
LikeLike
Poleni sana Bwana Salomon, ila hakuna maana tena kutangaza makosa ya mtu ambaye alikutendea makosa wakati tayari ameomba Musamaa. Kusamee ni kuvuta makosa, Mungu anapo tusamee hayakumbuki tena makosa yetu. Kutangaza makosa ya mtu wakati tayari amekwisha omba musamaa nikama haukuweza samehe. Asante.
LikeLike
i love your ministry.karibu kitale
LikeLike
Am greatly moved by your song “Mungu mwenye Nguvu”. God bless u big in Jesus name. Amen
LikeLike
Mungu kweli ndiye mfalme wa amani,wewe ni wabara na nyimbo zako za inua.Barikiwa.
LikeLike
I need you to pray for me.Solomon mukubwa
LikeLike
Mr Solomon kiukweli cjaona muimbaji wa Gosper mwenye nyimbo na sauti nzur kma yako, sijawai ona mwenye haki ameachwa, nakupa haki yako nasifu kwa kaz nzur sna, bg up bro. Iam Muslim but i love so much your songs.
LikeLike
Jambo kaka; pokea salamu zangu za dhati kwa jina la yesu.. Ningependa msaada wako ili kuuza nyimbo zangu za injili ambozo nimezicheza kwa mtindo wa kisasa namna ya BAHATI na WILLY PAUL ingawa kidogo ina utofauti.. Mimi ni mkristo ambaye nimeokaka na namtimainia mola kwa hali na mal; kwa kungangana kwangu nimeweza kuenda kwa mahojiano katika stesheni kadhaa za radio kama Qfm; Hot 96; Chamgei fm; West fm na Kalya fm zilizoko upande wa magharibi za Kenya…. Waeza kunifikia kwa nambari yangu ya rununu 0729140150 na waeza kusikiliza vibao vyangu kutoka kwenye linki hili http://mdundo.com/a/2803 Asante na Mungu akubariki..
LikeLike
Nyimbo zako ziko na upako wa Mungu. Hongera na Mungu akupe mguvu zaidi unapo endelea kumsifu
LikeLike
u bless my heart solomon wit ua album Mungu mwenye nguvu….b blsd 2 bless ol nations
LikeLike
The Song It Rly Inspired Me 2xana.
LikeLike
your songs do bless me so much.May holy spirit continue to minister with u to produce more songs.God bless u.
LikeLike
Waaauu!! You are a blessing to me bro. You are realy a blessing to me. I do sing your songs. Penina na Hanna I’ve searched it bt sijapata pliz imenibidi ni rekodi from the radio and it is a great great blessing. otherwise nakuombea more success bro. You gave us your number and we also need your paybill number to stand with you in this great mission. Thankyou.
LikeLike
I am looking for your original collection of your best songs. I live in ELdoret. Let me know how I can pay and get them. Your inspire me Mkubwa. God bless you and keep it up.
LikeLike
Always Blessed By Your Songs Solomon May God Bless You Abundantly
LikeLike
Solomon u r a blessing in my lyf, siwezi jizui kuskiza nyimbo zko hasa mungu mwaniki nguvu, nimewasamehe, siwezi ya mavuno, mfalme wa amani, kama si wwe ningehitwa nani, wah encouraging
LikeLike
God bless You my brother as you continue transforming the world through your touching songs especially Mungu mwenye nguvu na Uwe nami inspires me alot
LikeLike
Nilijifunza kusamehea watu from your experience. Nabarikiwa sana na nyimbo zako na hiyo imenifanya nikutafute sana and i thank God nimepata phone number yako.
LikeLike
Pole sana, baba, kuko vitu ingine vina fikaka ndanu ya maisha ya wwnadamu, ili tupate ushuhuda ya ku waubiri wengine, piya kuwa kaza ndani ya imani
LikeLike
solomon u bless me where can I get album ya penina na Anna eric from meru.
LikeLike
Solomoni Mkubwa is a good singer blessed and inspired by God.
I need to contact him but I haven’t his mail adress.
HELP ME in this PLEASE.
LikeLike
Dear Solomon. may the LORD GOD PRESERVE YOU AND MAKE you urogi proof. as I am seated knaw nasikiliza yesu ndiye mokozi wangu habari njema raha Yangu. my question. Did you forgive the wickedly minded mama wakambo?
LikeLike
HALELUYA…Great man Of God Solomon me uimba nyimbo zako ka ushuhuda manake u realy insipre me aki I wish nipatane na wewe life life we sing aki.Me n mmoja wale wanaokufuatiliai nchini kenya ningependa kushirikiana na wewe kwa wimbaji ama tu niende na wewe kwa huduma unazo enda Imekuwa ma prayerrs tumeet you aki m number is 0707436707
LikeLike
Many thanks Mr. Solomon for your forgiveness….Na ninapenda sana unapoimba kwa ule wimbo wako “Nimewasamehe” ya kwamba umewasamehe wote na moyo wako uko safi….. asante sana nakupenda na nyimbo zako zote
LikeLike
Nashukuru
LikeLike