DR.GETRUDE RWAKATARE AANDAA SIKU TANO ZA KUVUNJA LAANA ZA UKOO

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mikocheni B Assemblies of God maarufu kama mlima moto Mch. Rwakatare, ameandaa siku tano za kuvunja laana za ukoo semina hii inatarajia kuanza 26/02-02/03/2012 katika kanisa hilo lilipo Mikocheni B jijini Dar es salaam. Nyote mnakaribishwa.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

2 Responses to DR.GETRUDE RWAKATARE AANDAA SIKU TANO ZA KUVUNJA LAANA ZA UKOO

  1. Rosemary Mwita Gibogo says:

    naitwa rosemary nasoma kidato cha sita katika shule ya sekondari ya edmundrice iliyopo arusha,tangu niingie kidato cha tano maendeleo yangu katika masomo yamekuwa mabaya sana,nikisoma kitu ndani ya dakika kumi nakuwa nimeshakisahau,ningependa sana mnifikie kwani kwetu ni musoma na siwezi kufika dar es salaam kwani sina ndugu huko kwa sasa,nimewahi kusali katika kanisa lenu na imani yangu inanituma kuwa wokovu unapatikana hapo nahitaji maombezi naomba mnisaidie naumizwa sana na mabadiliko yangu kielimu

    Like

  2. Rosemary Mwita Gibogo says:

    namba zangu ni 0653474326

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s