TUIMBE PAMOJA FAMILY WANATARAJIA KUANZA MAZOEZI YA PROJECT YA 3. WAIMBAJI WAPYA WANAKARIBISHWA

Tuimbe Pamoja family inatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya Project no. 3. Mazoezi yataanza tarehe 5/3/2012 Jumatatu saa 12:00 – 1:30 Magomeni Mwembe Chai Kanisa la Wasabato. Waimbaji wazamani na wote wanaopenda kujiunga nasi tunawakaribisha. Tutakuwa tunafanya usaili upya. wasiliana nami kwa no. 0715 77 99 97, 0755 512 333 au 0683 368 000. Karibu sana

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s