Shetani wa kuzamisha Meli sasa yuko Zanzibar

Bwana Yesu apewe sifa ndugu zangu. Jamani hivi juzi tu mwaka Jana meli ya Mv. Spice ilizama na kuua mamia ya watu huku wengine wakiachwa wajane, Yatima na wengine Biashara zao na kazi zao kupotea. Juzu juzi tu tena balaa lile lile limejirudia tena, namaanisha Meli nyingine tena imezama mapema mwezi huu. ndugu zangu watanzania ni lazima tuwe na maswali ya kujiuliza, Je! Mungu kaamua kutupiga kwa ajili ya maovu yetu? jibu ni hapana, maana Mungu alishaapa kwamba hatawaangamiza tena wanadamu kwa maji! kama Mungu aliapa kwamba hatawaangamiza tena wanadamu kwa maji, na sasa tunaona wanadamu wanazidi kuangamizwa kwa maji, basi yupo anayewaangamiza ambaye si Mungu, na kama si Mungu basi ni Shetani.

Bwana Yesu alitupa Nguvu na mamlaka kumkemea Shetani na majeshi yake yote, hivyo basi ndugu zangu kabla huyu shetani hajaendelea tena, hebu tuamke kupinga. Biblia inasema “Basi mtiini Mungu Mpingeni Shetani naye atawakimbia” Yakobo 4:7. Ni wajibu wetu sisi tumwanio Yesu kumpinga huyu shetani ili asiendelee kuwaangamiza ndugu zetu. Hebu tuinuke pamoja wanaombi wote nchini kumkemea huyu adui wetu asipate nafasi tena.

Bwana Mungu wa Majeshi awaongoze katika jina lipitalo majina yote. Amina

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s