Ni kweli askofu kakobe amezuiwa na serikali kuonyesha vipindi vyake kwenye TV?

Kuna uvumi unaovuma mitaani kuwa eti Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia kakobe amezuiwa na serikali ya Tanzania kuonyesha vipindi vyake kwenye television za hapa nchini. taarifa hizi zimetufikia kutokana na ukimya wa muda mrefu wa mtumishi huyo. kwa kifupi ni kwamba hatuna uhakika na habari hizi hivyo tunaomba kama kunamtu ambaye anafahamu ukweli huu basi awasaidie watu wengi kwa kutuambia. lakini pia unaweza kuwasiliana na huduma ya askofu kakobe kwa anuani zifuatazo:

Bishop Zachary Kakobe International Ministries
57 Eliot Road, Suite 2
Revere, MA 02151
U.S.A.

Phone: +1-617-884-1954
Fax : +1-617-884-1955
E-mail: mainoffice@bishopzacharykakobe.org

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

16 Responses to Ni kweli askofu kakobe amezuiwa na serikali kuonyesha vipindi vyake kwenye TV?

 1. sophie says:

  SHALOM!
  Ninavyojua ni kuwa Askofu Kakobe hajazuiliwa kurusha vipindi kwenye TV, bali tu kanisa liliongeza concetration kwenye international ministry………… which i think is great……..Mungu ameonekana sana huko pia! Good job FGBF……….endeleeni kueneza injili

  Like

  • charles says:

   Nijuavyvo mimi ni kuwa HAJAZUIWA na serikali. Wasichoelewa watu wengi ni kuwa Bishop Zakary Kakobe anafanya kazi ya Mungu kwa maelekezo ya Mungu aliyemtuma(si kwa mkumbo wala kusikiliza watu wengi wanasemaje au kwa kuangalia wahubiri wengine wanahubirije. Mimi binafsi niliwahi kumsikia kabla hajasitisha vipindi kwenye TV akisema; “Mungu ameniita kuuhubiri ulimwengu; kuhubiri watanzania kwa njia ya TV sasa basi, damu yao haitatakwa mikononi mwangu; naugeukia ulimwengu”.

   Like

 2. kakobe hajazuiliwa na serikali ila ameweka nguvu kubwa ktk kuhubiri ulimwengu na hata sasa tupo kwenye maandalizi ya mkutano wa torontho 20-23 june 2013 lakini ile gharama ya kurusha vipindi tumeiamishia kurusha vipindi huko au sehemu ambayo tunakusudia kufanya mkutano

  Like

 3. e. stambuli says:

  Kakobe aliniambia kwa kinywa chake kuwa sasa anageukia ulimwengu kwa kuhubiri kimataifa akiamini kwamba neno la mungu linahitajika pia na mataifa.

  Like

 4. claud dominic kimario says:

  hajazuiwa huduma imehamia kimataifa sasa ni kwa ulimwengu mzima.

  Like

 5. Bernard Mwenda says:

  Ndiyo, ni ulimwengu wote sasa. Tumeona wenyewe Mungu alivyomtumia kule Toronto! Bila shaka huo ni mwanzo wa malengo aliyoyaeleza; “nawageukia mataifa damu haitatakwa mikoni mwangu”. Watanzania tulimgeuza kama mziki wa kutuburudisha kila jioni alipoonekana ktk Tv.

  Like

 6. ISACK CHEWE says:

  Mungu ambariki mtumishi wake Kakobe.

  Like

 7. Nsabi says:

  Ni kweli watumishi wengi wanaangalia hapa Tanzania tu wakati watu wengi wanahitaji wokovu Duniani kote.Ubarikiwe na Bwana mtumishi wa Mungu kwa maono.

  Like

 8. Nsabi says:

  Kakobe hajazuiliwa na Serikali kuendesha vipindi kwenye TV ila anatekeleza agizo la Bwana Yesu Kristo kwamba ……….”enendeni Ulimwenguni mwote mkahubiri Injili kwa kila kiumbe”( Marko 16:15).

  Like

 9. Elizabeth says:

  Jamani Watanzania tuwe tunasoma taarifa tofauti tofauti ili kujua taarifa kuhusu wahubiri ya Askofu Kakobe mfano soma Magazeti,ingia kwenye website yake,sikiliza radio ili upate mtumishi huyu anavyo eneza wokovu sehemu mbalimbali za ulimwengu huu

  Like

 10. stephen hando says:

  kakobe hajazuiliwa kurusha vipindi vyake kwenye tv ya tanzania ila kwa maelekezo ya roho mtakatifu amekuwa mhubiri wa kimataifa na baba wa mataifa mengi!

  Like

 11. stephen hando says:

  baba kakobe hubiri injili mpaka dunia itaharuki,na dunia pia ijue kuwa yupo mtumishi wa Mungu tanzania asiye kuwa wa kawaida!

  Like

 12. cyprian felix lijongwa says:

  MIMI NI MCHUNGAJI WA T.A.G NIMEKUWA NIKIMFUATILIA ASKOFU KAKOBE TANGU UDOGO WANGU NIKILINGANISHA WANAVYOMSEMA NA KILE NINACHO KIONA KWENYE MAISHA YAKE NA HUDUMA YAKE NIKAGUNDUA HUYO NI MTUMISHI WA MUNGU ILA ALIINUKA NA HUDUMA YENYE NGUVU SANA NA ANAOMBA KWA KUJIAMINI NA KUMWAMINI MUNGU KWA UHAKIKA AMBAO WATU WETU KWA UFINYU WA KUELEWA NENO IMANI WAKADHANI MTUMISHI WA SHETANI NDIYE MWENYE UHAKIKA WA MIUJIZA KULIKO WA MUNGU.WENGI NI MAskofu lakini ni vipofu kihuduma mungu atusaidie

  Like

 13. Pastor Kennedy John Watapa says:

  Nabii hakubaliki kwao, kama kuna watumishi wa Mungu alie hai watatu wakubwa apa Tanzania hauwezi ukaacha kulitaja jina la Zacharia Kakobe, sisi watu wa rohoni tunalijua hilo. Namtakia kila la kheri Kakobe ktk harakati za ukombozi okoa roho, anazozifanya ulimwenguni kote. Abarikiwe.

  Like

 14. Kuhusu mtumishi kupiga mawe watumishi wengine kama Rose Muhando. TB Joshua. Huzuni kubwa wakati Yesu alisema hao wako pamoja nasi

  Like

 15. Ephraime Kaingu says:

  May God bless you brother, maana yesu alisema tuyashike watayotufundisha wala tusifuate matendo yao. Amen

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s