Mtoto akojolea Qruan Dar es salaam, Waislamu wazua Vurugu kali Makanisa yachomwa moto

Siku mbili zilizopita mtoto mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es salaam amenusurika kuuawa na waislamu wenye itikadi kali baada ya kukujolea kitabu wanachodai wao kuwa ni kitabu cha Mwenyezi Mungu (Qruan) Kisa hicho kilikuja mara baada ya mtoto huyo kubishana na mtoto mwenziwe kwamba eti akikojolea Qruan atakuwa mwehu, yule mtoto akakataa kwamba hiyo si kweli ukikojolea qruan huwi mwehu! mabishano hayo yaliendelea na kupelekea kutoka katika nadharia na kuingia katika vitendo ambapo mtoto huyo alitaka kumthibitishia mwenzake kwamba huwi mwehu. alichukua qruan na kuikojolea wala hakuwa mwehu. kisha yule mwenzake baada ya kuona hivyo aliamua kwenda msikitini na kuwaeleza waislamu kisa hicho.

waislamu baada ya kusikia hayo waliandamana wakitaka wamkamate yule mtoto ili wamwue lakini jitihada zao hazikufanikiwa kwani Mungu alimwokoa yule mtoto maana Polisi walifanikiwa kuwadhibiti kabla hawajamuua.

Pamoja na hayo jambo hilo lilileta sura mpya mara baada ya wafuasi hao wa mungu Allah kuamua kuanza kuchoma moto makanisa jambo ambalo linaibua hasira kwa wakristo wengi. maana aliyewakosea ni mtoto na si nyumba za mwenyei Mungu (Makanisa) hivyo kufanya hivyo ni kuzua vurugu zisizo na msingi. wao waislamu wameshindwa kutumia akiliza kawaida kabisa tu kwamba aliyefanya kitendo hicho ni mtoto na si mtu mzima. na siku zote watoto wanahitaji kufundishwa na sio kuwanyonga wanapokosea, hebu tuchukulie mfano kama sisi sote tungalikuwa tunawanyonga watoto wafanyapo makosa Je! tungekuwa na Taifa? Waislamu tumieni Akili msiwe wajinga kiasi hicho. Yule ni mtoto hajuwi hili wala lile. Hebu acheni dhana potofu. Halafu Jambo jingine kama kweli kile kitabu ni cha Mungu kwanini waislamu mmpiganie Mungu wenu? yeye si yupo kwanini asimwadhibu huyo mtoto mpaka nyinyi muanze kuchukua mapanga kumtafuta mmchinje? inamaana Mungu wenu hana nguvu wala uwezo! Mungu awasaidie watu wake katika Jina la Yesu Amina

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

One Response to Mtoto akojolea Qruan Dar es salaam, Waislamu wazua Vurugu kali Makanisa yachomwa moto

  1. Watu wakamuuliza mwanachuoni, “Mbona huyu mtu anshindwa na wewe?” Akawaambia kwa sababu yule mtu ni mganga. Yoyote anaekwenda pale katika ile chalenj, yuwaja yeye na aandamana na jini wake, ‘qarin’ wake, kama anavyomtaja M’ngu kwenye Qur’ani kuwa kila mtu ana wake. Mtume SAW pia alitubainishia kuwa kila mtoto azaliwae apewa qarini wake.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s