Waislamu kuendeleza vurugu Dar es salaam na Zanzibar!

Baada ya vurugu za juzi juzi huko mbagala jijini dar es salaam Tanzania. balaa lingine tena limeibuliwa na hao hao waislamu, jana wameanzisha vurugu kubwa jijini Dar es salaam wakiilazimisha dola iwaachie watuhumiwa wa uchochezi wa vurugu za mbagala akiwemo kiongozi wa dini yao.

wakati hayo yakiendelea, huko zanzibar nako hali si shwali sana, kwani wafuasi wa kikundi cha uamsho wameonekana kuwa wenye hasira kali baada ya kiongozi wao kupotea na kuelekea kusikojulikana. Shehe huyo alishuka kwenye gari lake na kumuacha dereva wake akaingia kwenye gari jingine na kutokomea kusijulikana majira ya saa 5 usiku. viongozi wa kikundi hicho wameonekana wakiwatuliza wafuasi wao na kuwataka wawe na subira juu ya jambo hilo.

Ujumbe ulikuwa ukisambazwa kwa njia ya simu za mkononi jana jioni ulisema kwamba kuna boti 3 zilizosheni waislamu kuttoka zanzibar kwenda dar es salaam kwajiri ya kuchoma moto makanisa.

wakati hayo yakiendelea habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kikundi cha kiislamu cha uamsho kinajiandaa kufanya maandamano ya kuishinikiza serikali iwaachie huru watuhumiwa wa vurugu za mbagala. hawa watu wa uamsho kila wafanyapo maandamano yao huishia kuchoma moto mali za taasisi mbalimbali kama makanisa nk. hivyo tunaomba jeshi la polisi kuimarisha ulinzi wakutosha kuhakikisha amani inapatikana. vile vile tunawaomba wanamaombi duniani pote kuiombea amani Tanzania. Mungu Itazaame Tanzania Neema yako Bwana ituatamie.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s