Hivi ndivyo inavyoendelea katika mission ya Akina Moses, Kidosi, Steven……..huko kanda ya ziwa

Haya ndiyo yaliyojiri huko taarime katika mission ya akina Ev.Msoes Mayila. mtumishi wa Mungu Ev.Steven alipuliza injili isiyo ya kawaida watu wameponywa maelfu wamemkabidhi Yesu maisha yao! Leo wanaume wawili watajisogeza jirani na kenya. watateka anga la Sirari, Ev.Moses & Ev.Kidosi ambapo Taarime jembe litaendelea kumpepeta Shetani Ev.Steven, mapepo wamekimbia sana na magonjwa yamewaacha watu. Bwana awatangulie watu wake katika jina la Yesu.

Taarime wakisikiliza Injili

maelfu hawa walimpokea Yesu siku ya jana katika viwanja vya taarime mjini.

Hawa maelfu waliombewa, Magonjwa na mapepo yalikimbia siku hiyo

Sirari hodiiiii. baada ya Sirari wanaume hawa wataingia Kenya. Kenya hodiiiii. na baada ya Kenya watumishi hawa wataingia kule Bujumbura Burundi ambako watamharibia shetani mambo yake, Shetani kaa chonjo huu ni mwaka wa taabu kwako.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s