Je! ni sahihi kuomba kwa bikira maria ili akuombee?

haleluya!
Nimeona baadhi ya madhehebu wakiomba kwa bikira maria ili awaombee kwa Yesu mwanawe! haya ni makosa makubwa. maria alishakufa miaka mingi na kaburi lake liko huko israel hata leo. biblia inasema wafu hawajuwi lolote linaloendelea dunian. sasa unapoomba kwa wafu ni kazi bure. yakupasa kuomba kwa mungu kupitia jina la yesu na sio la mariamu maana imeandikwa “lolote mtakaloliomba kwa jina langu (Yesu) mtatendewa” kwa hiyo kumbe ili ujibiwe maombi yako ni lazime uombe kwa jina la yesu.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

4 Responses to Je! ni sahihi kuomba kwa bikira maria ili akuombee?

 1. kone sailepu says:

  wanasema bikira huvikisha maombi kwa mwanaye yesu na yesu huvikisha kwa mungu

  Like

 2. ni mambo magumu kidogo..hutakiwi kusingizia neno la mungu…ninamwamini bikra maria kwa kuwa ni mama wa mungu..hivyo yuko hai hadi leo kwa maana mungu mwenyewe alimchagua..maneno ya wanadamu si kitu..nakuomba mama yangu na kimbilio letu uniombee..AMINA

  Like

 3. venance says:

  samahani nataka kujua kuwa wewe humwamini wala humuheshimu bikira maria?? Pia naomba uniambie hilo kaburi liko wapi huko israeli

  Like

 4. ladi says:

  bikira maria ana maana gani kwako? katika ukombozi wa mwanadamu?

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s