Ukimtii Bwana hutakuwa tena masikini!

Biblia inasema kumb.15:4-6 “Hakutakuwepo na masinikini katika nchi akupaayo Bwana!”
watu wengi wanaamini kuwa Mungu anapenda watu wawe masikini.lakini kumbe wanavyoamini sivyo! watu wa mungu ni lazima wasiwe masikini! maana Mungu wao ni mmiliki wa vyote “Fedha na dhahabu na vyote viijazavyo nchi ni mali ya Bwana”
unachotakiwa kufanya ili usiendelee kuwa masini ni kumtii Bwana,na kisha tafuta kazi ya kufanya, halafu Bwana ataibariki hiyo kazi yako. “Nami nitaibariki kazi ya mikono yako”

Ubarikiwe

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s