Usipomsamehe aliyekukosa nawe hutasamehewa dhambi zako.

Watu wengi wanazitii sana sheria za Mungu ambazo ni: usiibe usizini. Lakini wamesahau kwamba kutosamehe ndiyo dhambi pekee inauyozuia msamaha wa Mungu kwenye maisha yao. watu wamemwamini Mungu lakini ikitokea mwenzake akamkosea kisha akamwendea kutaka msamaha! watu hawa hujibu “Unataka nikusamehe kirahisi rahisi tu! kweli ninge kusamehe lakini kwa jambo hili ulilonitendea siwezi kukusamehe!”

Yesu alisema msipowasamehe waliowakosa, vivyo hivyo nanyi hamtasamehewa dhambi zenu” Kwa hiyo unapokataa kumsamehe ndugu yako, inamaana kwamba wewe mwenyewe umejifungia mlango wa ufalme wa Mungu! Angalia ni hatari iliyoje! yaani mtu kujizuia kuingia katika ufalme wa Mungu wewe mwenyewe. acha tabia hiyo. jifunze kusamehe!

Bwana akusaidie sana.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.