Viongozi New Hope Ministry watangazwa!

Katika kikao kilichofanyika tar.14/12/2012 huko jijini Mwanza, kiliteua viongozi wakuu na viongozi waandamizi wa huduma ya New Hope Ministry (NHM). Hii ni kutaka kurahisisha utendaji kazi katika huduma. New Hope Ministry imeanzisha Tawi huko jijini Mwanza. wafuatao ni viongozi walioteuliwa katika kikao hicho:-

 

Viongozi wakuu wa huduma nzima:-

Ev.Moses Kapaya Mayila & Ev.Danford Kidosi

 

Viongozi wa Maombi:-

Mch.Boniface Mkoma & Mch.Malaki

 

Wahubiri:-

-Ev.Moses K. Mayila

-Ev.Danford Kidosi

-Ev.Ester Kidosi

 

Waimbaji:-

-Robingson Band

 

Pamoja na uteuzi huu wa viongozi lakini nafasi ziko wazi kwa yeyote anayehitaji kujiunga na huduma hii, tunawakaribisha wainjilisti, waimbaji, wanamaombi, wachungaji, wahubiri, walimu, manabii, mitume, na kila awaye yote anayehitaji kujiunga na huduma hii. Watu kama hawa tunawahitaji sana ili huduma iweze kusonga mbele. Huduma hii inajitegemea nje ya dhehebu hivyo imejumuisha watu kutoka madhehebu mbali mbali, hata hao viongozi waliopo hapo wametoka madhehebu mbalimbali, kwa hiyo usisite kujumuika nasi. mpango huu ni kuwaleta watu wa Mungu pamoja bila ubaguzi wa ki-madhehebu, ili kuhakikisha kazi ya Mungu inafanikiwa. Tunaamini kabisa kwamba kwa kufanya hivi tutaweza kufika mbali sana katika imani yetu.

Karibuni sana na Bwana awabariki.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s