Heri ya xmas na mwaka mpya!

Wapenzi katika Bwana.
Sisi New Hope Ministry tunawatakia heri ya xmas na mwaka mpya. tunawaombea mwaka ujao uwe mwaka wa mafanikio na baraka kwenu. pia kwa kila mmoja aliyetumia muda wake hata kidogo kukaa na kuanza kusoma masomo kwenye blog site zetu, wala sio zetu tu, bali na za watumishi wengine pia ambazo zinanena habari njema za ufalme wa Mungu wetu. Mungu ambariki mjini na mashambani. lakini ikiwa una tatizo, tafadhali mwambie Mungu asiache mwaka 2012 upite bila kutenda muujiza.

Ubarikiwe

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s