kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa ni kuinajisi doa yako!

Leo nikemee hili.
kuna kasumba mbaya imejitokeza makanisani siku hizi ikitokea kwa watu wa shetani! kasumba ya mtu kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa yenyewe, vijana wengi wamekuwa wakidanganyana kwamba eti kufanya hivyo na mchumba wake si dhambi! nakuambia ukweli bila kupindapinda ‘ni dhambi’ maana Mungu alisema katika kitabu cha kumbukumbu la torati, kwamba mtu akitaka kuoa atoe mahali kwa wazazi wa mwanamke kisha taratibu za ndoa zifanyike. vijana acheni kufanya hivyo ni chukizo kwa Bwana.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

3 Responses to kutenda tendo la ndoa kabla ya ndoa ni kuinajisi doa yako!

 1. lipyanda says:

  Hivi nyie wakristo mna matatizo gani? Mbona amueleweki?
  Kitabu chenu, INJILI YA WATU WASIOTAIRIWA, kinasema hivi, TAURATI NI LAANA, na mmekombolewa katika hiyo laana.
  Yaani, nyie wakristo, kwa mujibu wa kitabu chenu hicho(injili ya watu wasiotairiwa), amhesabiwi haki kwa MATENDO, bali, kwa IMANI.
  Kwa maana hiyo, ukiua, ukizini, ukilewa, ukila nyamafu, kutotahiriwa, mke na mume mkipatana kwa muda, ukimuoa mama yako, ndoa ya waume tupu, ukila nyama ya nguruwe, haviwezi kuwapeleka nyie katika mahakama ya mungu kwa sababu dhambi zenu zote kachukuwa yesu.
  Sawa ndugu yangu?
  Jirushe unavyotaka, yesu yu pamoja nawe, dhambi huna!

  Like

  • Lipyanda ndugu yetu, huu sio ukurasa wa mijadala ya imani. kwa mijadala kama hiyo fungua ukurasa ulioandikwa ‘christianiity vs islamic’ bali huu ukurasa ni kwajili ya mambo yetu na Mungu wetu. Nadhani umeelewa.

   Like

 2. Lokaji Mollely says:

  Huo ni ukweli kabisa uliomwambia ndugu lipyanda.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s