Mchungaji auawa na waislam kwa sababu ya kuchinja kitoweo huko buseresere Geita.

vugurugu kali kati ya waislamu na wakristo zimezuka wiki moja iliyopita huko Buseresere mkoani Geita, ambazo zilisababisha mchungaji mmoja kuuawa na wengine kujeruhiwa katika pirika hizo! chanzo cha vurugu hizo kinadaiwa ni mkristo mmoja alichinja ng’ombe kwa ajili ya nyama, jambo ambalo liliwatia hasira waislamu na kuanzisha paranja hilo.

Rais anatakiwa kutoa tamko juu ya hili kwa mujibu wa katiba. lakini mpaka sasa amekimya tu! Tazama Damu za watu zinamwagika! huu ndio wakati wa mpinga kristo!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s