Wakristo tusilipize kisasi kwa waislamu!

Bwan apewe sifa!
Kufuatia vurugu zinazoendeshwa na waislamu nchini kwa muda sasa tangu mwaka jana. pamekuwepo na minong’ono upande wa wakristo kwamba wajipange kupigana na waislamu. nachowashauri ndugu zangu ni kwamba nyinyi msipigane kabisa! Mungu wetu hatetewi na wanadamu, isipokuwa Mungu hujitetea mwenyewe! acheni Bwana ajitetee mwenyewe. msistaajabu kuuawa kwetu. tumeandikiwa kuuawa na mpinga kristo! na biblia inasema “heri watakapowaudhi furahini maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni”

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s