Matatizo yako usimwambie mtu, bali mwambie Yesu!

Bwana apewe sifa!
Biblia katika Zaburi inasema”Bwana ndiye kimbilio letu, na msaada uonekanao wakati wa mateso”

Kuna desturi moja kwa watu wengi, wakipatwa matatizo wanakimbia kuwaeleza watu shida zao! wakizania kuwa watapata msaada kutoka kwao! lakini nakuambia ukweli, wanadamu karibu wote ni wanafiki, utawaeleza shida yako kisha wataonekana kusononeka, na mara uondokapo huangua vicheko vya dharau na furaha kwao!

Mpenzi usimweleze shida zako mwanadamu, bali mweleze Yesu atakusaidia!
Barikiwa

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s