Picha za Mkutano wetu unaoendelea Sengerema (NHM)

waliompokea Yesu jana

waliompokea Yesu jana tar. 11/04/2013

Haya ni baadhi tu ya matukio yanayoendelea huku sengerema katika mkutano wetu (New Hope Ministry) mkutano huu utamalizika tarehe 14/04/2013 na kuanza huko kenya tarehe 15/04/2013. tafadhali tuombee sana. pia kama ukiguswa kutusaidia nauli na mahitaji mengine kama chakula maji, sabuni na mengineyo tutamkutukuza Mungu kwa hilo, account yetu ya M-Pesa ni 0755961270. Bwana Akubariki sana!

waliompokea Yesu juzi

waliompokea Yesu juzi

mapepo yakiwatoka watu

mapepo waliwatoka watu!

 

watu wakisikiliza neno la Mungu wakati Mwinjilisti Kidosi akihubiri.

watu wakisikiliza neno la Mungu wakati Mwinjilisti Kidosi akihubiri.

SAM_0530

waimbaji kutoka Sengerema!

watu wakisilikiza nyimbo!

watu wakisilikiza nyimbo!

SAM_0440

Band ya mlima wa makimbilio wakiimba!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s