Mauji ya Mch.Mathayo Kachila wa Buseresere Geita, Binti yake Azungumza na NHM

???????????????????????????????Kufuatia Vitendo vya kikatili, mateso na mauji yanayolipata kanisa kutoka kwa ndugu zetu wa kimwili (Waislamu) hasa yale yaliyotokea huko Buseresere Mkoani Geita, ambapo mchuingaji wa kanisa la Assemblies of God aliuawa na watu hao. Binti yake ametupa picha kamili ya tukio hilo na hatua ambazo Serikali ya rais kikwete ilizochukua!

Alisema Binti yake ambaye jina lake linahifadhiwa “Mimi kusema kweli sikuwepo huko ila nilivyosimuliwa ni kwamba, Baba alianzisha Bucha yake, ambapo ilikuwa ikifanya kazi kila siku. ndipo waislamu wakaanza kumtia vitisho. na ikawa hapo siku moja walikuja wageni nyumbani ambao walitokea hapo hapo kijijini, baba aliwasindikiza, wakati akiwasindikiza walianza kumuuliza kuhusu bucha yake inaendeleaje! baba aliwajibu inaendelea vizuri! kisha wakamwambia twende tukaione!

Mchungaji na watu hao wakaambatana kwenda buchani ambapo walipofika huko waliwakuta tayari watu ambao walianza kumshambulia baba, kukawa na vurugu kubwa sana, taarifa zikaenda kituo cha polisi ambacho jina lake limehidhiwa, kisha polisi walifika eneo la tukio wakamkuta baba akipigwa sana. Cha ajabu ni kwamba askari hao hakuna hata mmoja aliyesogea kwenda kumsaidia baba, japo waliona baba akipigwa lakini hawakutoa msaada wa ushirikiano wowote hadi baba alipokufa ndio sasa wakaenda pale kutoa msaada!

Watu waliohusika katika tukio hilo walikamatwa, lakini cha ajabu ni kwamba wote wameachiwa huru! Mwanasheria mmoja alijaribu sana kufuatilia kesi hiyo lakini cha ajabu ni kwamba alijikuta akifukuzwa kazi!” NHM ilimtafuta mwanasheria huyo akasema ni kweli kwamba alifukuzwa kazi mara baada ya kuonekana akifuatilia sana kesi za mauaji ya wachungaji! lakini mwezi machi mwanasheria huyo alirudishwa kazini tena!

Hadi sasa hakuna mtu ambaye anashikiliwa na polisi kuhusiana na tukio hilo!

Mimi naweza kusema kwamba Serikali inampango wa siri na Kanisa, hata kama ukiangalia majibu ya Rais wakati alipokuwa akijibu tamko la maaskofu alikuwa akionekana wazi kutetea uislamu na kukandamiza ukristo! maana yeye alikataa kusiwepo na mabucha ya waislamu na wakristo, eti kwa kigezo cha kukwepa kuwepo na mjiko mawili jeshini na mashuleni! Rais hakuangali athari ambazo ni mauji taifa linapata kutokana na suala dogo la nyama. Badala yake aliwataka waislamu waendelee kuchinja na wakristo waendelee kula nyama hizo!

Mimi nadhani kikwete kwa kuwa ni mwislamu mwenzao ndo maana anafanya hivyo! tumeona makanisa yakichomwa moto, watumishi wa Mungu wakiuawa yeye yupo hatoi tamko lolote! mbona Rais mkapa alikomesha mara moja mabo haya! hata Rais mwinyi ambaye ni mwislamu mwenzake aliweza kukomesha vurugu kama hizi! kwa nini kikwete amekimya kama haoni? kunajambo ndani yake! ukiona panafuka moshi basi ujue kuna moto! Ndugu zangu tutakari upya utawala wa Serikali yetu hasa kiongozi mkuu (The head of a state).

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

One Response to Mauji ya Mch.Mathayo Kachila wa Buseresere Geita, Binti yake Azungumza na NHM

  1. mary says:

    For this reason we never become discouraged, Even though our physical being is gradually decaying, yet our spritual being is revewed day after day.And this small and teoporary trouble we suffer will bring us a tremendous and etrnal glory, much greater than the trouble.For we fix our attenntion,not on things tha are seen,but on things that are unseen. What can be seen lasts only for a time, but what cannot be seen lasts forever

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s