Kauli ya waziri mkuu wa Tanzania dhidi ya watu wanaoandamana kudai kile wanachokiita haki zao ni la kushangaza!

Tamko la Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda 20/06/2013 juu wa watu wanaoandamana bila idhini ya serikali wakidai matakwa yao yasikilizwe ni la kushangaza!

Pinda alisema “Wapigwe tu maana tumechoka” ni jambo la kushangaza sana kuona kiongozi anasema “wamechoka!” kama wamechoka waachie madaraka wachukue wasiochoka! ndiyo maana nchi inaenda vibaya, wachungaji wanauawa serikali kama haipo, kumbe viongozi wamechoka! serikali itambue kwamba kama wao wamechoka basi wananchi wamechoka zaidi! Mingu atusaidie!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME and tagged , , , , , , , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s