Hivi Obama alikuja kufanya nini?

Hivi Obama alikuja hapa kufanya nini? nilimwona akizungumza kuhusu kutusaidia! wandishi wa habari walimuuliza maswali ili awahakikishie kama atatusaidia!

Jamani ee, Hivi tutaishi kwa kuombaomba mpaka lini? tunavyanzo vya uchumi vingi sana! kwanini tusivitumie hivyo? tunatakiwa kubuni mipango madhubuti ya kulipa kodi na kuwabana mafisadi, kuwaondoa wawekezaji migodini badala yake serikali ichimbe kwa kuajiri wazawa! tuacheni mawazo ya kusaidiwa sisi sio viwete! hebu tuamueni.
Tubarikiwe Sana!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME and tagged , , , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s