Kati ya watu wa shetani na watu wa Yesu ni wepi wanaowahubiria wenzao?

Haleluya.
Hivi pale eden kati ya hawa na nyoka, ni yupi alikuwa wa kwanza kumhubiria mwenzake?
kama jibu ni nyoka, inamaana kwamba watu wa Mungu wamenyamaza kimya! Badala yake watu wa Shetani ndio wanaowahubiri watu wa Mungu ili wawatoe kwenye mpango wa Mungu!
Je! wewe umesimama wapi hapa? changamka ndugu yangu usilale piga hatua kuwahubiria watu wote unaokutana nao bila kujali mazingira! na Mungu atakutukuza, maana imeandikwa “Mtu akinitumikia nitamtukuza”
Songa mbele utauona utukufu wake!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s