USA Mana conference with Christopher Mwakasege!

2013- mwakasege conference-USA

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
Image | This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

6 Responses to USA Mana conference with Christopher Mwakasege!

 1. janeth lwankomezi says:

  pastor,my name is janeth,iam a servant of God, i live in tanzania,iam supposed to pay 410dollars fee so that i can go to usa in colorado for God’s sake, i ask you kindly to pray for me so that i can get this finance,for me to go ahead in saving the lord so that his work may be fullfilled and God may be grolified.

  Like

 2. MARKO LAZARO. says:

  God bless u 4 what your doing for the presentation of heaven kingdom.

  Like

 3. ASONGO ESENGA says:

  Group for Bible Teaching Ministry (GBT)
  Nyarugusu Refugees Camp
  P.O.Box : 407, Kasulu
  Tel: 0765978488, 0768367527,
  0712619362.

  Date Machi 07, 2015

  YAH: Mualiko wa Mkutano wa Injili na Semina ya Kiroho, tarehe 4 – 9/08/2015

  Mheshimiwa Mtumishi Muinjilist Christopher Mwakasege,

  Kuatazima na heshima kubwa uliopewa na mwenyezi Mungu, huduma yetu ya GBT inayo furaha ya kuja mbele yako kutoa mualiko rasmi hapo juu, kuja kuhudumia wakimbizi wapatao elfu (80,000) mataifa mbalimbali wapatikanao katika makanisa mbalimbali kama hesabu yao ni madhehebu 200 ambayo yanaishi katika Mkoa wa Kigoma, Kasulu districk, Tarafani Makere, Kambini Nyarugusu.

  Jamii hii imekumbwa na mikasa mbalimbali ya vita hadi kupoteza mwelekeo wa Kiroho.
  Watu hao wanaitaji faraja katika neno la Mungu kulingana na mapito mengi wanayopitia kutoka nchini kwao.
  Kwa hiyo mualiko huu ni wa tano sisi kuwatumia, tafadhali sana tuna waombeni huduma yenu ije kuleta neno la faraja kwa jamii ya wakimbizi na semina kwa wachungaji, waaskofu na watumishi mbalimbali.

  Tunaomba ratiba yako pia tarehe tajwa hapo juu, isiwe kipengamizi kwako bali jali waitaji wathirika wa Kiroho kama ilivyowito wa huduma yako.

  Tumekufahamu kupitia muinjilisti ABSHELOMA Logan uwa tunafanya kazi na huduma yake humu kambini hususani muandamizi wa mikutano ni mimi ASONGO ESENGA na yeye ndo ametuahidi tukualike. Ahsanteni!
  Mungu awabariki.

  Kwa niaba ya Huduma ya GBT,
  ASONGO ESENGA
  Coordinator

  Like

 4. hilary belington kawa says:

  kwa kweli hua nabarikiwa sana na mafundisho ya mwalimu mwakasege.. mungu azidi kumtia nguvu na kumpigania ili nasi tuzidi kukombolewa

  Like

 5. JANETH LWANKOMEZI says:

  TUNAIOMBEA AMANI TANZANIA

  Like

 6. JANETH LWANKOMEZI says:

  DAD IAM BLESSED MUCH WITH YOUR MINISTRY KEEP IT UP GOD BLESS YOU

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s