New Hope Ministry watakuwa Mwanza 19-21/07/2013

SAM_0457Kikosi cha New Hope Ministry Tanania kitakuwa na mkutano mwanza katika viwanja vya Igombe kuanzia tarehe 19-21/07/2013. Mwinjilisti Danford Kidosi na Moses Mayila watahudumu makutano hayo! waleteni wenye shida wagonjwa wataombewa wote bure kwa jina la Yesu!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

One Response to New Hope Ministry watakuwa Mwanza 19-21/07/2013

 1. asongo esenga says:

  Bwana asifiwe,
  Watumishi wa MUNGU , tungeitaji kuwahona mnahudumia katika maeneo tulimo.
  group for bible teaching ministries(GBT) ni huduma ya injili,ilianzishwa congo dr mwaka wa 1994, inafanya kazi hapa kambi ya wakimbizi ya nyarugusu,tarafa ya makere,wilaya ya kasulu ,mkoa wa kigoma. tunafanya mikutano ya injili,semina kwa watumishi wa kanisa mbalimbali ya hapa na zile za maendeleo pia.
  tunaomba kushirikiana pamoja kwa kuendeleza kazi ya MUNGU.
  KARIBUNI,
  Wenu katika Kristo,
  Asongo esenga.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s