Askofu Moses Kulola afariki!

Tunasikitka kuwajulisha kuwa mtumishi wa Mungu askofu mkuu wa kanisa la EAGT Moses Kulola amefariki jana katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam.

Kabla mauti haijampata Moses alikuwa na mkutano katika viwanj vya furahisha jijini mwanza ambapo alihubiri siku moja tu ya jumapili na baada ya hapo alianza kuugua akapelekwa hositali ya amana dar es salaam ambapo Bwana alimtwaa huko!

Ni huzuni kubwa iliyoikumba Africa na kanisa kwa ujumla lakini hatuna budi kukubaliana na hali halisi na kumshukuru Mungu kwa kila Jambo.

Bwana amemtwaa mtumishi wake. JINA LAKE LIPEWE SIFA.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

7 Responses to Askofu Moses Kulola afariki!

 1. Yusha says:

  RIP mtumishi wa Mungu.

  Like

 2. MAGDALENA says:

  MUNGU AMEMTWAA MTUMISHI WAKE,TENA AMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI,MWENDO WAKE AMEUMALIZA NA IMANI AMEILINDA.ACHA APUMZIKE BABA.
  TUYATUNZE ALIYOYAANZISHA.

  Like

 3. Rehema Mwalyego says:

  Tulikupenda sana Babu ,lkn mungu kukupenda zaidi,daima tutakukumbuka

  Like

 4. Coellastina Nangi says:

  NI SHUJAA !!!!!!!!!!!!!! JINA LA BWANA YESU LIPEWE SIFA.

  Like

 5. ni ukweli usiopingika kua kwa upande wake hakika ametumika na mataifa mengi duniani amekua sababisi la injili Mungu muweke pema peponi

  Like

 6. Mahali pa kuweka mungu ndiyo anyejua mahali pa kuweka , swala mungu amuweke wapi mungu ndiye anayejua pa kumuweka

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s