Mgogoro wa TAG na EAGT unaendeleaje?

Mgogoro kati ya kanisa la Tanzania assemblies of God (TAG) na kanisa Evangelism assemblies of God (EAGT) Ulianza upya mara baada ya kifo cha Mtumishi wa Mungu Ev.Moses kulola. hadi sasa hatujuwi mgogoro huu umeishia wapi, kama kunamtu anafahamu tafadhali tujuze………

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

3 Responses to Mgogoro wa TAG na EAGT unaendeleaje?

 1. Yusha says:

  Nini chanzo?

  Like

 2. Samwel says:

  Chanzo ni kitu wasomi wanachokiita church growth ambayo moja ya njia ya kanisa kuongezeka kiidadi na kutimiza agizo kuu ni mgawanyiko (split). ijapokuwa si njia nzuri ila watu wakichukulia kiutu uzima na kukubaliana kutokukubaliana kwa hoja za msingi, huwa linaleta matunda sahihi..Wakati wa mitume katika Atendo ya Mitume 15:36-41 kulikuwa na kutoelewana mitazamo kati ya Barnaba na Paulo iliyopelekea watu waliokuwa wameshikamana kwa muda mrefu kuachana kiutu uzima na kila mmoja akaenda kutimiza maono yake, ndicho kilchotokea TAG, Moses kulola alijiengua TAG na kuanzisha EAGTkutimiza maono yake, ila njia iliyotumika haikuwa nzuri na jinsi alivyoondoka na jinsi wenzake wa TAG walivyomtazama. kwa hiyo mgawanyiko ukatokea.
  Baada ya mijadala mirefu wa pande zote mbili na maamuzi ya mahakama kimsingi Mgogoro ulikwisha baada ya mahakama kurithia kuwa EAGT ni shirika linalojitegemea na lenye haki ya kumilki mali zake, na TAG ni shirika linalojitegemea lenye kumiliki mali kama viwanja magri n.k…Mahakama ikagiza EAGT waarudishe mali za TAG waliokuwa wameshikilia hasa viwanja na majengo ya ibada..
  Sasa TAG badala ya kutumia nguvu ya mahakama wakawa waugwana wakijua hawa ni wakristo wenzetu watafanya pole pole na bila vurugu.kwani wanajua viwanja na majengo yamesajiliwa kwa jina la TAG. Kweli Mungu bariki baadhi ya wachungaji waliuona ukweli wakayarejesha majengo kama ya Dodoma, Tabora mwanza nk..Na wengine wakawa wagumu kutii agizo la mahakama na kushikilia mali za TAG.mpaka leo.
  Mtumishi wa Mungu Askofu Kulola alipofariki na EAGT wakaamua azikwe kwenye viwanja vya TAG,bila kukiri kuwa ni vya TAG, basi kwa ajili ya kuweka rekodi TAG ikataka kuonyesha kuwa kiwanja ni cha TAG kwa kurejea kwenye mahakama ile ile iliyotoa oder.kwa ajili ya ushahidi na kwa vizazi vijavyo Soma zaidi juu ya maelezo ya Askofu wa wa TAG.alipowajibu waandishi wa habari.http://gospelkitaa.blogspot.com/2013/09/ufafanuzi-wa-tag-kuhusu-eneo.

  Like

 3. Genuinely when someone doesn’t be aware of then its up to other users that they will help, so here it occurs.

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s