Hakiza Paulin wa Rwanda aungana na Kikwete!

Wakati kukiwa na sintofahamu juu ya mahusiano
ya Tanzania na Rwanda
kufuatia ushauri uliotolewa na Rais Jakaya
Kikwete kumtaka Rais Paul Kagame
kuzungumza na waasi wa FDRL wanaoendesha
harakati zao mashariki mwa DRC,
kiongozi wa chama cha upinzani cha ukombozi
wa wanyarwanda ULDR yuko jijini
Dar es salaam kuunga mkono tamko la Kikwete
dhidi ya Kagame.
Akizungumza na Channel Africa jijini Dar es
salaam Bw. Hakiza Paulin ambaye
ni mwenyekiti na mwasisi wa chama hicho,
pamoja na kumtaja rais Kagame kuwa
chanzo cha matatizo ya mashariki mwa DRC
anasema mazungumzo ndio njia pekee
ya kumaliza uasi.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s