HAKIZA PAULINE AISHUTUMU MAHAKAMA YA MAUAJI YA RWANDA ICTR

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ukombozi
wa Wanyarwanda ULDR nchini
Rwanda Bw. Hakiza Pauline ameitupia lawama
mahakama ya kimataifa
inayoshughuikia mauaji ya kimbali ya Rwanda
ICTR iliyoko mkoani Arusha
kwa kuendesha shughuli zake kwa mlengo wa
ukabila.

Akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni
jijini Dar salaam ambako
yupo kwa ajili ya kusaka uungwaji mkono, Hakiza
ambaye anaishi uhamishoni nchini Afrika kusini, amesema ICTR imekuwa ikiwaandama wahutu pekee kwa tuhuma za mauaji ya watusi na kuongeza kuwa, vita vya Rwanda vya mwaka 1994 vilihusisha makabila yote.

Pamoja na madai hayo ya Hakiza wa chama cha
ULDR, kwa upande wake mahakama ya ICTR imekanusha vikali madai hayo na kusisitiza kuwa hakuna upendeleo wa kikabila katika uendeshaji wa kesi hizo.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s