Ev.kidosi yuko shinyanga tangu tar.26/12/2013

Photo-0027Mwasisi wa NHM Ev.Danford Kidosi, yuko mkoani shinyanga ambako anaendelea na mkutano ulioandaliwa na umoja wa makanisa mkoani humo.

Mhubiri huyo ambaye Mungu anamtumia kwa ishara na miujiza, ataendelea na huduma hadi tar.01/01/2014 kisha atarejea kwake jijini mwanza.

Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wa mtandao huu kidosi mwenye umri wa miaka 73 alisema “Bwana anaonekana, watu ni wengi sana, ishara na miujiza zinatembea kwa kiwango cha juu sana”

Bwana ambariki mtumishi wake na awe naye katika siku za maisha yake yote. Amina

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s