NHM: African reachout program itaanza april 2014

NHM: Tunafuraha sana kuwajulisha ndugu wapendwa kuhusu mpango na ratiba za injili kwa mwaka huu 2014.

Mwezi wa nne tutaanzia mwanza na baada ya hapo tutayafikia mataifa mengine tofauti na Tanzania.

Pia tumeanzisha program ya cenema, hivyo huduma zitakuwa zikifanyika tangu asubuhi hadi saa tano usiku. hii itategemea na sheria za nchi husika.

Kama ungependa kuungana nasi katika mision hii tafadhali wasiliana nasi mapema ili tuweze kufahamu idadi ya watumishi tutakaosafiri pamoja.

Pia uwe tayari kujigharimia nauli ya kwenda na kurudi sehemu husika. sisi tutakugharimia chakula na malazi.

wasiliana nasi:-
Email: newhopeministrytanzania@gmail.com
SMS: +255 755 961 270

Bwana akubariki sana..tafadhali tukumbuke katika maombi yako.

NHM Team – Tanzania

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s