NHM: Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mkutano wetu sengerema 13-18/05/2014

Kwa hakika safari yetu Sengerema haikuwa ya bure, bali tulimwona bwana huko. wengi waliokoka, wagonjwa waliponywa na mapepo mengi yaliwatoka watu wengi sana. naweza kusema ilikuwa vurugu, maana wengine walikimbizwa na mapepo kutoka katika viwanja vya mkutano lakini watumishi wa Bwana waliwafukuzia na kuwakamata na kuwarudisha, kisha pepo walikemewa na kuwatoka watu hao. moja ya matukio ni kama yanavyoonekan katika picha.

Robinson akiwa kivukoni (Mv. Misungwi) Kigongo - Busisi, tukiwa katika safari yetu kuelekea sengerema.

Robinson akiwa kivukoni (Mv. Misungwi) Kigongo – Busisi, tukiwa katika safari yetu kuelekea sengerema.

Sengerema viwanja vya soweto huko mision, makutano wakisikiliza neno la Bwana ambalo Ev.Kidosi alilinena kwao.

Sengerema viwanja vya soweto huko mision, makutano wakisikiliza neno la Bwana ambalo Ev.Kidosi alilinena kwao.

demons

Binti aliyepagawa na pepo wachafu, akihudumiwa na mwimbaji (Zefania) kutoka sengerema pamoja na Ester Kidosi.

ev.Ester and danford kidosi

Ev.Kidosi na mke wake EV.Ester Kidosi mapema kabla ya kupanda jukwaani.

ev.ester kidosi

Ev.Ester Kidosi akiliachilia neno ambalo wengi liliwagusa na kurejea kwa Bwana

ev.kidosi

Ev.Kidosi akiwaongoza sala ya Toba wale waliompokea Bwana

ev.moses

Ev.Moses Mayila na Ev.Ester Kidosi wakiwaombea wagonjwa na wenye shida mbalimbali

kurupukuru[u

Kijana aliyekuwa kakamatwa na pepo wachafu akijaribu kutimua mbio ili Yesu asiwatoe mapepo hao lakini alikamatwa na makomando wa jeshi la Yesu, (NHM ashers)

kwaya

Robinson Band wakiimba habari za Bwana viwanjani hapo, wakati maelfu na mamia ya wakazi wa sengerema wakishuhudia hili.

makutano makubwa

Makutano wakiwa wametega masikio wakati Pastor Malaki akizungumza kwao.

mapepo

Binti aliyeteswa na mapepo akifunguliwa na Yesu.

pastor malaki

Pastor Malaki akifanya maandalizi ya kumleta Ev.Moses Mayila ili ampeleke jukwaani mhubiri.

pepo

mapepo waliendelea kuwaachia watu wa Sengerema

prayers

Moses Mayila na Kidosi wakitoa huduma kwa waliompokea Bwana siku hiyo.

robinson band

Robinson Band wakiimba wimbo wao maarufu kama Komando ni Yesu

robison band

Robinson Band na wimbo wao Komando

salome band

Salome band wakimtukuza Bwana

wakisiliza

Wakazi wa Sengerema Kwa makini wakisikiliza Wimbo uliokonga Nyoyo zao, wimbo ulioimbwa na band ya mlima wa makimbilio

waliookoka

watu waliompokea Bwana wakiwa wamenyoosha mikono yao juu ili mhubiri aweze kuwaona

makutano wakikongwa nyoyo na waimbaji kutoka kikosi cha New hope ministry (NHM)

makutano wakikongwa nyoyo na waimbaji kutoka kikosi cha New hope ministry (NHM)

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

One Response to NHM: Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mkutano wetu sengerema 13-18/05/2014

  1. anna kulindwa says:

    HAKIKA NAMBARIKI BWANA KWA WATU KUOKOKA NA KUFUNGULIWA .HILINDILO TULILOITIWA. MBARIKIWE NA BWANA YESU!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s