Eee Bwana weee hii iliyotokea Israel juzi ni mpya ya mwaka!!

Waparestina juzi walitupa kombora zito kuelekea ofisi za wizara ya ulinzi Israel. Lakini Mungu alivyo wa ajabu ulivuma upepo mkali ukalisukumia baharini. Hili ni jambo la kushangaza kwa watalaamu wa explosive and weapons handling management maana kombora kwa kawaida huwa na uzito Mkubwa kuliko atmosphere pia huwa na velocity kubwa kuliko ya upepo Mara nyingi hutumika high explosive ambayo velocity of detonation range yake huwa ni kati ya 2500-9000m/second ni speed ambayo haiwezi kupingana na upepo ukilinganisha na mass utapata mass x velocity/9000

Hakika Mungu wa Ibrahimu isaka na yakobo yu hai leo na hata milele. Yeye aliyeapa kuwalinda watu wake Israel.

Unadhani ni nini kilitokea hapa kama sio mkono wa Bwana uliohodari? Hebu nani atupe maandiko yanasemaje juu ya Israel.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s