Mpinga kristo yupo duniani leo, mtambue ishara zake

Shalom wana wa Mungu. Leo nimeamua kunena juu ya mpinga kristo.

Biblia inasema mpinga kristo atakuja, ambaye kazi yake itakuwa kuwaua na kuwafunga gerezani wakristo.

Leo nataka nikwambie huyo mpinga kristo ni nani. Na namna gani utamtambua. Fuatana nami.

Mpinga kristo ni shetani ambaye anafanya kazi ya kumpinga YESU na ufalme wake.

Namna gani huyu shetani anafanya kazi?

Ikumbukwe kwamba Mungu hutumia watu ili kutekeleza kazi zake duniani, ndiyo maana utasikia kuna watu wanaitwa watumishi wa Mungu. Vivyo hivyo shetani naye hutumia watu ili kutekeleza kazi zake.

Kwa kifupi Biblia imesema wazi moja ya Siri za huyo mpinga kristo kuwa hesabu yake (namba yake) itakuwa 666.

Kwa kuangalia andiko hilo watu wengi walidhani kuwa mpinga kristo atatoka marekani, dhana hii ilikuja baada ya ndege na vifaru vya marekani kuonekana na namba 666.

Je! Dhana hii ni sahihi?

Jibu ni hapana. Mpinga kristo hatoki marekani, bali anatoka katika miji ya Makka na Madina ambako aliishi bwana mmoja maarufu sana aliyejulikana kwa jina la Muhammad. Huyu bwana ndiye mwasisi wa dini ya uislam duniani.

Je! Uislam unahusiana vipi na namba 666?

Uislam umejengeka kupitia kitabu change kiongozi ambacho ni qruani? Kitabu hiki kina jumla ya sura 114 na maneno 6666! Kumbuka hesabu ya mpinga kristo ni 666! Sasa hapa ili shetani asijidhihishe wazi kwa Kuwa aliona Yesu amefunua siri hii kwa ulimwengu. Akaamua kuongeza sita moja nyuma ya mia sita sitini na sita.

Lakini hii haitoshi, moja ya dalili kubwa kabisa za mpinga kristo ni kuwaua na kuwafunga gerezani wafuasi wa YESU.

Qruan imeagiza kwamba kama mtu ni mwislam kisha akaamua kuuacha Islam, mtu huyo auawe maana amekuwa kafiri!

Tumeona mara kwa mara waislamu wakitekeleza mauaji na uharibifu wa mali za wakristo, wakichoma moto mahekalu. Mfano:Tumeona wakichoma moto makanisa hapa kwetu dar es salaam na sehem zingine.

Kwa sura hii moja kwa moja uislamu ndiye mpinga kristo.!

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini hawachomi moto nyumba za waganga wa kienyeji, lakini wanashughulika na wakristo tu! Ni kwa sababu misheni ya mpinga kristo sio kuwasumbua watu ambao wako chin ya shetani, Bali ni kuwataabisha wafuasi wa YESU na kuhakikisha hawaendelei kuwepo duniani.

Rafiki, tuko katika dunia ya shida. Na hizi ni nyakati za mwisho, kaza mwendo ukimtazama Bwana maana siku zetu hazikawii kuisha. Mungu akupe nguvu za kuweza kushindana siku ya uovu kwa Jina la YESU.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

4 Responses to Mpinga kristo yupo duniani leo, mtambue ishara zake

 1. Nakayima Annet says:

  i donot understand swahill

  Like

 2. Taysir says:

  wewe mchungaji kondoo wako wamekta kamba haoo…….
  Yesu wenyewe ni Muislam sasa nakushangaa wewe unasema unamfuata Yesu kumbe unampinga…dini ya Kikristo imetengenezwa na Wanaadamu ila dini ya Kiislam ndio dini ya haki mbele ya Mungu…Okoka wewe uje katika Uislam dini ya amani

  Like

 3. K.JOH MKATOLIKI says:

  biblia inasema “watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa” na hapo ni MUNGU mwenyewe analalamika sasa ndugu yangu asante kwa kunipa maalifa. INJILI YA YESU IENDE MBELE

  Like

 4. Gesa says:

  Ameeeee ubarikiwe Mtumishi

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s