Dr.daniel kulola atakuwa alabama USA kuanzia 01/09/2014

daniel kulola

daniel kulola

Mchungaji na mhubiri wa kimataifa ambaye pia ni mtoto wa gwiji na mwasisi wa Imani nchini tanzania marehemu Moses Kulola, Dr.Daniel kulola atakuwa nchini marekani kuanzia tarehe 01/09/2014. Dr. Daniel atakuwa nchini humo kwa muda wa wiki mbili, hii ni kutokana na wito wa rais Barack Obama wa Marekani kumtaka Mhubiri huyo akahubiri nchini kwake. Obama alimpigia simu na kumwambia “Tumekaa kikao tumeona zaidi yako hakuna ambaye atahudumu kusanyiko hili” alisema Obama.

Dr.Daniel Moses Kulola ambaye pia ni mlezi wa kiroho wa Ev.Moses Mayila amekuwa mhubiri wa muda mrefu tangu enzi za baba yake. akiongea kwa njia ya simu na ev.moses mayila alisema “Mbaki salama tutakuwa tunawasiliana”

muombee mtumishi aende salama arudi na Bwana.

NHM Tanzania

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s