Mkutano wetu singida umekwisha!

Waliompokea Yesu katika  mkutano wa singida, wakiwa wameshoosha mikono juu kama ishara ya kusalimisha maisha yao kwa Yesu

Waliompokea Yesu katika mkutano wa singida, wakiwa wameshoosha mikono juu kama ishara ya kusalimisha maisha yao kwa Yesu

Mama kidosi na ev.kidosi wakiwa jukwaani wakiongoza sala ya toba kwa waliompokea Yesu

Mama kidosi na ev.kidosi wakiwa jukwaani wakiongoza sala ya toba kwa waliompokea Yesu

Watu wa Mungu tunashukuru sana kwa maombi yenu juu ya mkutano wetu singida ambao ulikwisha 14/09/2014. Leo tumeanza mkutano sengerema mwanza kitongoji cha nyasenga. maombi yenu ni muhimu kwetu. Bwana yesu awalinde na hata tuonane tena!

Ev.Moses mayila – Senior minister

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s