mkutano wa dr.daniel moses kulola unaendelea jijini mwanza

Mwanza-20141116-02319Mhubiri maarufu jijini mwanza, rev.dr.daniel moses kulola, nahubiri mkutano mkubwa katika viwanja vya kanisa la eagt lumala mpya jijini mwanza.

 

waimbaji ni martha baraka, joseph rwiza kutoka mbeya, sheila kutoka tanga, abuu levi, sarah emanuel, happy shamawele, revival chior, uinjilisti choir, hot spear, na wengine wengi.

tunawakaribisha watu wa jinsia zote, waleteni wenye shida mbalimbali, wagonjwa, viwete na vipofu, Bwana atawaponya kwa nguvu ya jina lipitalo majina yote, yaani jina la Yesu!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s