Dr. Daniel Moses Kulola atakuwa mjini washington DC USA tar.03.12.2014

Mhubiri maarufu na mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT lumala mpya lilipo jijini mwanza huko Tanzania, Dr.daniel moses kulola ambaye pia ni mtoto wa gwiji wa injili barani africa marehemu askofu Dr.moses kulola, yuko nchini marekani tangu leo tar.03/12/2014. kwa jili ya kuhubiri sehemu mbalimbali katika baadhi ya majimbo nchini humo.

Akizungumza kanisani kwake jijini mwanza jumapili iliyopita Dr.daniel alisema “naondoka mara moja nakwenda nchini marekani nitakuwa huko kwa muda wa wiki mbili kisha nitarejea tena nyumbani”

Akizungumza kwa njia ya watsap na mtoto wake wa kiroho ambaye pia ni kiongozi wa new hope ministry kenya, tanzania na japan ev.moses mayila, Dr.daniel kulola alisema “kwa sasa nimefika dubai”

Ziara ya mhubiri huyu barani america kaskazini inakisiwa kuwa ni ya kipekee kwani ni mara nyingi amekuwa akiitwa kwenda kuhubiri nchini humo, huku maelfu ya watu wakiwa wanamsubiri barani humo. mwezi jana pia alikuwa nchini humo katika majimbo ya alabama na  filedefia.

Mungu amtangulie mtumishi wake kwa jina la yesu.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s