moses mayila kuhubiri dar es salaam mwaka huu!

Mwasisi wa huduma ya new hope ministry mwinjilist moses mayila, anatarajia kufanya mkutano mkubwa wa injili jijini dar es salaam mwaka huu. akiongea na mwandishi wa mtandao huu, moses mwenye umri wa miaka 28 alisema “naangalia bajeti yangu kama itaniruhusu mwaka huu nataka nifanye mkutano mkubwa wa injili jijini dar es salaam, maana ni siku nyingi sana sijakuwa mjini hapo”

Aliongeza kwa kusema kwamba yeye atakuwa akihubiri mkutano huo ambao mwenyeji wake atakuwa mchungaji Boniface Mkoma ambaye ni mchungaji kiongozi wa kanisa la glory of hope ministry lilipo mabibo na kimara jijini daar es salaam.

maombi yako ni muhimu ili kufanikisha kazi hiyo, Bwana amwongoze mtumishi wake moses mayila.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s