Islamic state waonyesha video za mauaji dhidi ya wakristo

https://i0.wp.com/gdb.voanews.com/0A1D2CF4-AAC3-4A1F-A17E-BD59CDA328B7_w443_h249.jpgWanamgambo wa kundi la Islamic State wametoa kanda ya video wanayosema inaonyesha mauaji ya takriban Wakristo 30 kutoka Ethiopia waliokamatwa na washirika wa IS nchini Libya.

 

Picha za kundi moja zimeonyesha wakikatwa vichwa katika ufukwe wa bahari huku picha nyingine zikionyesha kundi jingine la raia hao wakipigwa risasi kichwani katika jangwa.

Maandishi katika kanda hiyo yanasema kuwa waathiriwa ni wanachama wa kanisa la Ethiopia.

Kanda hiyo ya dakika 29 inaonyesha alama ya kundi la mawasiliano la IS kwa jina Al-Furqan na inafananana ile iliotolewa hapo awali na kundi hilo ikiwemo ile iliochapishwa mwezi Februari ambayo ilikuwa ikiwaonyesha wapiganaji wa kundi hilo wakiwakata vichwa wakristo 21 wa Misri katika ufukwe wa bahari nchini Libya.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s