Wakristo kadhaa wa dhehebu moja wameuawa wakijaribu kujihami nchini Angola

Chamakikuu cha upinzani nchini humo cha UNITA kilisema kuwa huenda watu 200 waliuawa huku chama tawala cha MPLA kikisema kuwa ni watu 13 waliuawa.

UNITA kinaitaka serikali ya Angola kuchunguza vifo vya waumini wa dhebu la Seventh Day Light of the World ambalo lilijitenga kutoka kanisala Seventh Day Adventist.

Dhehebu hilo linamini kuwa dunia itaisha mwishoni mwa mwakahuu na limetoa witu kwa wafuasi wake kuondoka makwaona kuelekea milimani.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s