Lowasa ahamia ukawa

image

Waziri mkuu msaatafu wa awamu ya nne mh. Edward Lowasa ametangaza rasmi kukihama chama chake ccm na kuhamia chadema. Lowasa alisema hayo jana katika mkutano wa ukawa pale bahari beach jijini dar es salaam. hata hivyo hofu imewakumba baadhi ya watu na kuwaza huenda huo ni mkakati wa ccm kuuvunja ukawa.

Hata hivyo kumetokea hali ya sintofahamu baina ya wafuasi wa chadema mara baada ya mh. Wilbroad slaa na mh. Tundu lisu kutoonekana katika mkutano huo, huku tetesi zikisema kwamba mh. Dr. Slaa na mh. Lisu wamekasirishwa na maamuzi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mh. Freeman mbowe cha kumkaribisha mh. Lowasa na kumpa fursa ya kuwania taji ya urais kupitia ukawa.

Mwandishi wa azam tv jana alimuuliza mh.halima mdee kuwa kwanini viongozi hao wa ngazi ya juu kabisa hawakuonekana. Mh.mdee hakujibu swali hilo na badala yake alianza kuchengachenga hali iliyopelekea watu wengi kusadiki kuwa kweli mh.dr. Slaa na mh. Lisu wamegomea kitendo hicho.

Mwandishi wa blog hii amemtafuta dr. Slaa kwa njia ya simu ambapo mh. Slaa hakutaka kuzungumzia hilo.

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s