Baada ya uchaguzi Tanzania

Bwana wetu Yesu kristo apewe sifa!

Tunamshukuru Mungu kwa kuimarisha na kuendelea kuimarisha amani na usalama katika taifa la Tanzania ambalo lilikuwa na uchaguzi mgumu na wenye harufu ya damu. lakini kwa maombi ya watakatifu amani imeendelea kuwepo katika nchi.

Asante Yesu kwa kuwa wewe ni amani yetu.

Na sasa ndugu zangu wapenzi mambo ya siasa na chuki na hasira za kisiasa tuziweke pembeni na kuangalia mstakabali wa taifa letu. mambo ya uchaguzi yamepita  na tunamshukuru Mungu Rais amepatikana.

pamoja na hayo lakini tuendelee kuombea amani kule upande wa zanzibar ambako hadi sasa hakuna Rais.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tutetee watu wako

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s